P-Tah - Clear The Frequency paroles de chanson

paroles de chanson Clear The Frequency - P-Tah



Tapi Ares bado ndio Doc
Aargh
Lyrical assasin niki paisha immortality
Gueza kipaji maternity kwa booth na deliver
Mataa kwa mitaa si face me nipate mitre
Till then on this
Nika nalipisha kisasi ka kasisi kwa ki zazi kipya
Hapa kuangalia saa zii
Uhodari kuchongwa uchukua muda
Nikiandika mystari upya
Needing Var niki come na fire
Kuni de throne kwa hii empire uta need umpire
My thoughts bonfire lets just start juu msamaa mbaya
Na please dont break your neck juu ya ku nod head
Vile nili touch down fans wali sleep on me
Bila makofi nili feel umcomfy, nika soma copy
Chap chap that woke up me nika smell coffee
On this instance success haitakua instant ndio picha
From a distance I knew lazima ni create change ndio ni get chance
Beyond bars, I needed to shake it up, ni break mould
Ku bring heat to rappers walikua wameaza ku get cold
Vile gate keepers walikua na strong hold kwa hii game
Its a shame we blocked while we free, unless we pay a fee
Na cartel anaweza top charts akiwa behind bars
I can tell hatuko huru, but you know me dog
Always working on a sulu-ishow
No matter what the mission sijawai lack vision
See me moving bricks to give my communitee
Might miss ukiwa blond sniping mission kwanza nikiwa juu ya ki bond seven
Leave fans wakisema ooo ooo saba
Bisha mlango with bold moves
Linked up with MJ, Keffa, Evano na Brima
DKC, yes thats ma family, what one can do five can do better
You can see it clearly we build the raft to get them bread na butter
Kufungia talent ni njia kawa tu those with cowardly ways
(Wakisema siwezi cheza juu na nafanya quality control)
Hoping uta dig deep mbosho ndio your records zipate spins
What they miss ni hizi spins ndio zinifaa kufurisha pori
As you approach unakua porched ns just like that umekaziwa
Key ya ngazi kwa pori ujui utatoa wapi ya andazi
See men stressing, mapenzi ya shuka, less benz on road
Unaweza ipokea ka ujumbe ujue ya mbele
Au uenda ikawa haya natunga nukisonga
Haidhuru we create worlds with our words
As a man thinketh so he liveth
Ama ni be-eth probably behave
As long as si enclave na weza exhale
Nway let me proceed nipate proceeds niki push my posse for all to see
But first things first
Let me big those that laced me to cure hii kiu
Curtis Wa Kijee hip-hop Republik 1st radio play thank you
Coco sobo na DJ Jessie kwa take off walinishow niko satified
That left me satisfied for a minute but I am going for greatness
Nafsi Huru pushed me to the People Daily
Made it to a few charts wadd up Kennie
Limuru wanajua Wa Furu brings that fire
Am in building na na lay my claim
Ares blessed me, Vice said I raps nice
Afrvka so the vision sidai vitisho
Kunta alishow love Gitosh akaleta magic touch
Upcoming ana rap na royalty wha gwan Brainman
My baby growing quick n she need that yard before she 18
Thats why niko me fighting
Me na Bura Tuna kick in doors wakujua existed
While they act we dont exist
But soon come we be send them to the nearest exit
Rev Jeos about to blow up
This right here naipon vile imeandikwa ndio inatamukwa hakuna typo
Big up plate sahani kubwa juu nadai jasho ya mi si mi
We se we baki a-sa-po uki tarajia ma tarajio ya mi si mi
Hii right here ni PSA, Tapi is here, so mkeep hizi exit clear
Ukiskia ding, watch them fly out ya ring
Utilizing insomnia ku-bring my dreams near
Walio nipa loyalty watapata royalties
Cover clear ya a few magazines unaweza isoma kwa magazeti
Ku make my familia wamange zebu hakuna kitu swezi
Leaving teeth marks ka Suarez ngware iva kwa quarry
Pitia masimba kuona Moyale, yep thats my people
Waki peep hao people walio zaliwa karibu na pipa
Vile walivyo badili maneno yaka leta malipo
Yagi yoo yagi yao
Its a heavy load kwa slippery road
Bless me lord nitoe my people kwa hizi struggle
For my first blood precision ni ya Rambo kwa haya mambo
Ni baki kwa jungle unchained ku survive kwa hii janga
Inabidi kujipanga eneza upendo kwa wote bila malipo
Chorea iyo panga
Maji maji uprising now ni ya mental
Unaweza come nikushow method
Hizo physical uta need Dettol
Sometimes tuna obsfusticate, yeah
Your real importance unekana uki arrive late
And with that said
It wont be funny madam ulidate akisema the rains late
Mate only way you win this debate ni uki utter less thats what it takes
Probably its bout time ni take a break
Hii si off the head it was written (written)



Writer(s): Peter Mutisya


P-Tah - Clear The Frequency - Single
Album Clear The Frequency - Single
date de sortie
20-10-2022




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.