P-Tah - My Story, Pt. 2 paroles de chanson

paroles de chanson My Story, Pt. 2 - P-Tah



Inabidi tu rudi za kale
Ayub talk to them
Aye, Aye
What do you say
Aye Aye
Rest in power king
Buda tumetoka gwaza ilianzia lumush
Wazazi waka jikakamua tukaingia furu
Just before arrival ya Pajero
Wheels ya kwanza ilikua KWK Datsun sunny
Life imekua filled na ma adventure
Lesa toka Rabai Road through uhunye to phase uno
Ma-acrobatics na Mr obonyo Mr alikua ma mudi
Right about now ndio my greatest acrobat Shikoli katuacha
Right hand man wa dad pia akatake flight hapo Metropolitan
True friendship nililearn toka kwako si vako
A few wame kucheza thru the years you remain loyal
Mum nakumbuka ukiwa sad juu ya shouting ya Gogo
But hivyo hivyo tukaingia umoje
Kids wanagrow need bigger space
I guess hizi silikua lessons on savings
Hapa nikameet Keneddy na Johny, Ben na nzuki walikua ma olders
Girl next door ilikua Josi,right opposite Angie huyu alikua first crush
Nakumbuka magondi walikua gundown owanjo karibu na umo One
Bullet holes tukichambua hapo katho
Tournament za hood tuki rep F gwans
H Socrates walikua na Lokure na Okere
Nika toka Rabai nikarushwa boarding Kiambere
Nika learn about wa Mbeere na Kimere
Aye, hii ni life filled with adventures
Ningeweza I would live it twice
Aye, kuna regrets but tunamake amends
Aye
I would live it twice
Aye
Ku maliza primo tukahamia saika next to Koma
Hapa nika learn mambo ya mortgage
Nika meet Chalo na Junior Msyoks na Brayo pia
Adole ilikua inatesa mbaya, tunaingia F2 taharibu mbaya
Hii zone, nilichapwa nyongolo nikitoka oyole kucheki Miako
Ingia Seco Form 1 nikabeba sanduku n ikaingia tala high
What? Seco na tuna vaa short mr soo wacha mchezo
Hapa nika meet Osa na Mwaura Linguististics Etale na watu wa mlango
Nzungutu zilikua zinaweza ma outing mako
Hii ilikua survival series learning to be a man
Talanta ilikua Rugby ask about me Kaigo anaweza kuambia
Investment zika pay off tukarudi Furu
Chilling na Moriso Harlem pasua za hiltop zilikua top
With Suspe on the way nika chorea Tala
Enter muhuri aka Texas high
Mlure na Ngao walikua legendary
R. I. P Keneso na Mlocha Syl lala salama
Muusya kuchungulia kwa dirisha time ya preps
Buda jipe shugli
Hii ilikua system but ilikua anafeel ka family
Grades zi kome kijana akapass with flying colours
Man what can I say
Thank you mum thank you dad



Writer(s): Peter Mutisya


P-Tah - League of My Own - EP
Album League of My Own - EP
date de sortie
25-06-2021




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.