Philip - Zaka-Zaka paroles de chanson

paroles de chanson Zaka-Zaka - Philip



Sisi sote tumshukuru
Mungu aliyetuumba
Anayeponya magonjwa
Aliye mwaga damu
Tumshangilie eeh
Tuumsifu eeh
Tuumbariki eeh
Tumshangilie eeh
Tuumpe sifa eeh
Tuumbariki eeh
Zaka zaka tuumbariki bwana
Zaka zaka tumpatie sifa
Zaka zaka tuumbariki bwana
Zaka zaka zaka




Philip - Zaka-Zaka
Album Zaka-Zaka
date de sortie
20-09-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.