Prince D - Parapanda - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Prince D - Parapanda




Parapanda
The Trumpet
Eh, ah
Eh, ah
Prince D, eh
Prince D, eh
Oh oh oh oh oh oh oh, eh
Oh oh oh oh oh oh oh, eh
Parapanda ya Mungu ikifika
When God's trumpet sounds,
Je, ndugu yangu utakuwa wapi?
My brother, where will you be?
Chunguza vazi lako eh ndugu yangu
Examine your garment, my brother,
Je, bado liko safi?
Is it still pure?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
When our God's trumpet sounds, ah
Je, ndugu yangu eh uta enda wapi, eh?
My brother, where will you go, eh?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
When our God's trumpet sounds, ah
Je, ndugu yangu uta enda wapi, eh?
My brother, where will you go, eh?
Chunguza kama vazi alilo kupa
Check if the garment He gave you
Hilo liko safi
Is still clean
Ili ukae ukijuwa kwamba uko tayari
So that you may know that you are ready
Ku mlaki Bwana atakapo rudi
To meet the Lord when He returns
Kutu chukuwa
To take us
Eh, uh ah
Eh, uh ah
Nikodemu, alikuwa na elimu kubwa sana
Nicodemus, he was very educated
Katika Biblia ana fahamika
In the Bible, he is known
Kuwa muerevu
To be wise
Na alitambua siri moja kubwa sana
And he realized a very big secret
Kwa hivyo ali mwendea Bwana Yesu
So he went to the Lord Jesus
Ili apewe ujusi zaidi ya elimu yake
To be given wisdom beyond his education
Alikuwa na swali kubwa moyoni mwake
He had a big question in his heart
Je, mtu anaweza aje kuingia
How can one enter
Katika hu ufalme wa mbingu, yoyo?
Into this kingdom of heaven, yoyo?
Yesu Kristo kwa elimu mingi
Jesus Christ, with much knowledge
Alimjibu Nikodemu
Answered Nicodemus
Usipo zaliwa mara ya pili
Unless you are born again
Hauwezi ona ufalme wa Mungu
You cannot see the kingdom of God
Yesu Kristo kwa elimu mingi
Jesus Christ, with much knowledge
Alimjibu Nikodemu
Answered Nicodemus
Usipo zaliwa mara ya pili
Unless you are born again
Hauwezi ona ufalme wa Mungu
You cannot see the kingdom of God
Ukisha zaliwa mara ya pili
Once you are born again
Ndugu yangu eh eh eh eh
My brother, eh eh eh eh
Takasa njia zako ili usiachwe ndugu, eh
Sanctify your ways so that you are not left behind, brother, eh
Yesu Kristo atakapo rudia
When Jesus Christ returns
Kuichukua kanisa
To take the church
Akute vazi lako likiwa safi mno
May He find your garment very clean
Kama teruji eh, oh oh oh oh
Like new, eh, oh oh oh oh
Parapanda ya Mungu itakapo lia
When God's trumpet sounds
Je, ndugu mpendwa utakuwa wapi, eh?
My dear brother, where will you be, eh?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
When our God's trumpet sounds, ah
Je, ndugu yangu eh uta enda wapi, eh?
My brother, where will you go, eh?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
When our God's trumpet sounds, ah
Je, ndugu yangu uta enda wapi, eh?
My brother, where will you go, eh?
Chunguza kama vazi alilo kupa
Check if the garment He gave you
Hilo liko safi
Is still clean
Ili ukae ukijuwa kwamba uko tayari
So that you may know that you are ready
Ku mlaki Bwana atakapo rudi
To meet the Lord when He returns
Kutu chukuwa
To take us






Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.