Prince D - Parapanda paroles de chanson

paroles de chanson Parapanda - Prince D



Eh, ah
Prince D, eh
Oh oh oh oh oh oh oh, eh
Parapanda ya Mungu ikifika
Je, ndugu yangu utakuwa wapi?
Chunguza vazi lako eh ndugu yangu
Je, bado liko safi?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
Je, ndugu yangu eh uta enda wapi, eh?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
Je, ndugu yangu uta enda wapi, eh?
Chunguza kama vazi alilo kupa
Hilo liko safi
Ili ukae ukijuwa kwamba uko tayari
Ku mlaki Bwana atakapo rudi
Kutu chukuwa
Eh, uh ah
Nikodemu, alikuwa na elimu kubwa sana
Katika Biblia ana fahamika
Kuwa muerevu
Na alitambua siri moja kubwa sana
Kwa hivyo ali mwendea Bwana Yesu
Ili apewe ujusi zaidi ya elimu yake
Alikuwa na swali kubwa moyoni mwake
Je, mtu anaweza aje kuingia
Katika hu ufalme wa mbingu, yoyo?
Yesu Kristo kwa elimu mingi
Alimjibu Nikodemu
Usipo zaliwa mara ya pili
Hauwezi ona ufalme wa Mungu
Yesu Kristo kwa elimu mingi
Alimjibu Nikodemu
Usipo zaliwa mara ya pili
Hauwezi ona ufalme wa Mungu
Ukisha zaliwa mara ya pili
Ndugu yangu eh eh eh eh
Takasa njia zako ili usiachwe ndugu, eh
Yesu Kristo atakapo rudia
Kuichukua kanisa
Akute vazi lako likiwa safi mno
Kama teruji eh, oh oh oh oh
Parapanda ya Mungu itakapo lia
Je, ndugu mpendwa utakuwa wapi, eh?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
Je, ndugu yangu eh uta enda wapi, eh?
Parapanda yake Mungu wetu ikifika, ah
Je, ndugu yangu uta enda wapi, eh?
Chunguza kama vazi alilo kupa
Hilo liko safi
Ili ukae ukijuwa kwamba uko tayari
Ku mlaki Bwana atakapo rudi
Kutu chukuwa



Writer(s): David Anderson mugabe


Prince D - PARAPANDA
Album PARAPANDA
date de sortie
06-04-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.