Prince D - SUZANNE paroles de chanson

paroles de chanson SUZANNE - Prince D



Eh, ah
Patrice na Suzanne
(Prince D) ah (yeah yeah)
Suzanne kipenzi wa wengi
Alie bendewa kijijini
Ah
Patrice, Patrice
Patrice alimupenda Suzanne, ah
(Patrice alimupenda Suzanne)
Patrice, Patrice (ah)
Patrice alimupea moyo wake
(Patrice akampa roho yake)
Suzanne ndiye alikuwa mrembo wa wote
Kijiji, Suzanne ndiye ali miliki
Suzanne kijijini yani alipopita
Vi jana macho yote ni kwake akipita
Suzanne kijijini yani alipopita,ah
Vi jana macho yote ni kwake akipita
Alikuwa mrembo, mkarimu
Waku vutia
Suzanne usowake waku vutia
Ndiyo mana naku penda
Oh oh, Suzanne, eh
Mtoto ana jicho karembua
Mtoto ana jicho karembua
Kampashe ujumbe mina mpenda
Mtoto ana jicho karembua
Mtoto ana jicho karembua
Kampashe ujumbe mina mpenda
Oh oh, Suzanne
Oh oh, Suzanne
Moyo wangu waku hitaji (Patrice)
Moyo wangu waimba, Suzanne
Nakupenda Suzanne
Patrice, oh oh, Suzanne
Eh, Suzanne ninge tamani
Niishi na we (niishi na we)
Tuzae watoto
Wafanane na we
Eh, Suzanne ninge tamani
Niishi na we (mama nanga)
Tuzae watoto
Wafanane na we
Eh eh, oh oh, Suzanne
Oh oh oh oh, Suzanne
Eh, Suzanne ninge tamani
Niishi na we (niishi na we)
Tuzae watoto
Wafanane na we
Eh, Suzanne ninge tamani
Niishi na we, mama
Tuzae watoto
Wafanane na we, eh eh
Oh oh, Suzanne
Mama na bana nanga
Oh, Suzanne, eh
Mtoto ana jicho karembua
Mtoto ana jicho karembua
Kampashe ujumbe mina mpenda
Mtoto ana jicho karembua
Kampashe ujumbe mina mpenda, oh oh
Oh, Suzanne
Oh oh, oh oh Suzanne
Mama na bana nanga
Oh, Suzanne
Oh oh oh oh
Suzanne, ah
Mama na bana nanga, eh
(Mama na bana nanga, ah)
(Oh oh, eh oh oh) eh pah
Mtoto ana jicho karembua
Mtoto ana jicho karembua
Kampashe ujumbe mina mpenda
Oh oh oh, Suzanne (Suzanne)
Eh eh eh, Suzanne (Suzanne)
Oh oh oh, Suzanne, ah ah



Writer(s): David Anderson mugabe


Prince D - SUZANNE
Album SUZANNE
date de sortie
30-05-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.