Prince D feat. UWEZO GODIOUS - TRUE LOVE paroles de chanson

paroles de chanson TRUE LOVE - Prince D



Yeah
Uwezo in this with Prince D
It's another Prince D music
Yeah true love
Tangu ku zaliwa kwangu
Sijawahi kuwa na bahati hii
Kama ninayo toka nilipo ingia
Ndani ya upendo huu
Nilipotafuta mapenzi
Moyo wangu laini uli gongwa
Moyo wangu uli gongwa
Na wale walio jifanya kunipenda
Moyo wangu hakika uli vunjika
Na wale walio jifanya kunipenda
Lakini ulipojitokeza
Mpenzi maishani mwangu
Uliondoa (ah) maumivu yote
Ndani ya moyo wangu, yo yo
Tangu ku zaliwa kwangu
Sijawahi kuwa na bahati hii (na bahati hii)
Tangu ku zaliwa kwangu
Sijawahi kuwa na bahati hii
(Sijawahi kuwa na bahati hii) kama ninayo
Toka nilipo ingia ndani ya upendo huu(oh oh)
Kama ninayo
Toka nilipo ingia ndani ya upendo huu
Hiini true love
(Hiini true love) eh eh
Hiini true love
Oh oh
Upendo wa kweli ndio tuna
Mimi na wewe yo (yeah)
Alright, Uwezo come on take it
Hakika nilipokuona mara ya kwanza
Macho ili kuona nao moyo ukakutamani, eh eh
Mdomo ukakiri upendo wangu kwako
Na rohoni nikaapa kwamba
Nitaishi daima ndani ya moyo wako, oh oh
Kwani kwako nime pata mapenzi moto moto
Nikiwa kwako unanituliza kama mtoto
Fumba macho na ufuate upendo wangu kwako
Huu ni upendo wa kweli
Je t'aime beaucoup
Huu ni upendo wa kweli kwako oh oh
Yeah eh eh eh eh eh
Eh pah, uh
Tangu ku zaliwa kwangu
Sijawahi kuwa na bahati hii (yeh eh eh eh)
Tangu ku zaliwa kwangu
Sijawahi kuwa na bahati hii
(Sijawahi kuwa na bahati kama hii) kama ninayo
Toka nilipo ingia
Ndani ya upendo huu(oh oh)
Kama ninayo
Toka nilipo ingia
Ndani ya upendo huu(ah ah ah)
Hiini true love
(Nakupenda bébé) eh eh
Hi ni true love, ah ah
Prince D (Uwezo records)



Writer(s): Devin Sylvester


Prince D feat. UWEZO GODIOUS - TRUE LOVE (feat. UWEZO GODIOUS) - Single
Album TRUE LOVE (feat. UWEZO GODIOUS) - Single
date de sortie
13-01-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.