Prince D - UPENDO WA TITANIC paroles de chanson

paroles de chanson UPENDO WA TITANIC - Prince D



Yeah
Ah zongela nga bébé, zonga
Zongela nga ah bébé, zonga ah
Eh zongela nga bébé, ah zonga
Zongela nga ma cherié, zonga
Ah zongela nga bébé, eh
Prince D, kwako mpenzi wangu, uhuh
Nime poteza yote ili niwe na we
Songa kando nami bébé
Nahitaji siku ya leo niwe kando yako, ah
Zongela ngai ma cherié bébé
Njo tu tengeneze mapenzi
Kama ya sinema
Ninayo imani kwamba daima
Tuta simama mimi na wewe
Oh ma bébé, uh
Upendo wa Titanic
Usifanyiki
Sitaki nikupoteze vile
Rose ali mpoteza Jack
Upendo wa Titanic
Usifanyiki
Sitaki nikupoteze vile
Rose ali mpoteza Jack
Eh eh eh, sitaki nikupoteze
Vile Rose ali mpoteza Jack
Oh oh oh oh oh
Eh eh eh, ah eh
Upendo wa Titanic usifanyiki(oh oh)
Sitaki nikupoteze
Vile Rose ali mpoteza(no no no)Jack
(Upendo wa Titanic, eh)
Upendo wa Titanic usifanyiki(eh eh eh)
Sitaki nikupoteze(no no no)
Vile Rose ali mpoteza Jack(eh eh)
(Sitaki nikupoteze babe) ah ah
(Nakupenda yo)
Uh
Yea
Njo kipenzi wangu, uh huh
Kanipe upendo wako mpenzi wangu
Nina tamani mimi na wewe bébé
Hata ndoa mpenzi tuka funge
Ukiwa mbali yangu eh funguo
Ya furaha yangu
Nazo nguvu sina tena, ah
(Ah)
Natamani tuka weke, bébé
Mhuri kwaku kamilisha huu upendo wetu
Naomba niku busu bébé
(Ah) napenda sana(uh) mpenzi
Ukiwa pamoja nami
(Ah)
Kwa wepesi uki tembea nami
Sala zangu
Nikwa Bwana Mungu nisikupoteze
Hu upendo wa Titanic
Usifanyiki, eh
Sitaki nikupoteze
Vile Rose ali mpoteza Jack
Maumivu, kilio siko tayari bébé(no)
Sitaki nikupoteze
Vile Rose ali mpoteza Jack
Upendo wa Titanic usifanyiki(oh oh)
Sitaki nikupoteze
Vile Rose ali mpoteza(no no no)Jack
(Upendo wa Titanic, eh)
Upendo wa Titanic usifanyiki(eh eh eh)
Sitaki nikupoteze(no no no)
Vile Rose ali mpoteza Jack(eh eh)
(Sitaki nikupoteze babe) ah ah
(Nakupenda yo) uh
Uh, ah, yeah, ah
Zongela nga bébé, zonga ah
Zongela nga cherié, zonga ah
Zongela nga bébé, ah
Zonga ah, zonga eh
Zongela nga bébé, ah
Zonga ah, zonga eh
Zongela nga cherié(zonga zonga) ah
Prince D(Zongela nga bébé)



Writer(s): David Anderson mugabe


Prince D - Upendo wa titanic - Single
Album Upendo wa titanic - Single
date de sortie
21-11-2022




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.