paroles de chanson Kamili Gado - Professor Jay
Nakucheck,
check,
check
kila
kona
Bara
mpaka
pwani
bado
sijakuona
Moyo
wangu
unauma
mie,
japo
nikuone
mi
nitapona
Nimekwenda
hospitali,
mbali-mbali
wanadai
dawa
yangu
ni
wewe
We
ndo
wangu
daktari,
sitapona,
sitaishi
tafadhali
nielewe
Bado
napenda
kuishi
bado
nataka
kuishi
Nionee
huruma
mwenzio
(eh)
Nitibu
hata
kwa
kiss,
naishi
kitatanishi
mpaka
useme
ndio
(eh)
Unavyokatika,
katika
zungusha,
zungusha
juu
mpaka
chini
mi
nabaki
hoi
Unapo
tingisha,
tingisha
binuka,
binuka,
back
and
forth
mi
nabaki
hoi
Ma,
unang'aa
kistaa,
kukuona
ni
adimu
kama
nyota
ya
jaha
Unasifika
kila
kona
ya
mtaa,
njoo
kwangu
unitibu
ili
nipone
kachaa
Dah,
naahidi
kukupenda
cause
nakupenda
Haya
mawazo
kuwa
nitakutenda
sitatenda
Twende
wote
popote
unapokwenda,
nakiri
mimi
Mateka
na
kwako
nime-surrender
Mtoto
iko
kamili
gado,
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado,
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado,
kamili
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
Kamili
gado
Watu
wengi
wanishangaa,
kwa
nini
kila
siku
mi
sina
raha?
Afadhali
ushinde
njaa,
kuliko
maisha
yako
yakose
furaha
Wana
sema
nimechizi,
wana
sema
nimenock
Wana
sema
sema
usiku
wata
lala
Njoo
karibu
nami
tuwatoe
nishai,
wanoknock
tuwatoe
kafara
Furaha
yangu
ni
wewe,
maisha
yangu
ni
wewe
Fikra
zangu
ni
wewe
tuu
Ndoto
yangu
ni
wewe,
maisha
yangu
haya
hayana
na
tamani
bila
wewe
tuu
Natamani
siku
moja
uwe
nami,
kwa
furaha
na
maisha
yote
Ili
twende
nikutambulishe
nyumbani,
kwa
kuwa
una
sifa
zote
Nikubali
uwe
wangu
mwandani,
siku
zote
na
maisha
yote
Mapenzi
yetu
yachome
wapinzani,
daima
na
milele
yote
Ah,
you
the
one
and
only,
sina
nia
ya
kuzingua
niamini
shorty
Usishangae
wakinyoosha
vidole
Wanadhani
uko
Single
wabadili
story
We
ndo
wangu
wife
material,
uzuri
na
tabia
zinafuta
changu
kilio
Ado,
ado
mambo
bado
wape
kisago,
mtoto
upo
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado,
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado,
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado,
kamili
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili
gado
Usi-niache
mi
(eh),
usi-niache
mi
Usi-niache
mi
(eh),
usi-niache
mi
Ukiacha
peke
yangu
na
mawazo
nakonda
Usiache
mi
Ukiniacha
peke
yangu
na
mawazo
nakonda
Iye,
eh,
eh
(iye,
eh)
Mtoto
iko
kamili
gado,
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado,
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado,
kamili
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili
gado
Mtoto
iko
kamili
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili
gado
Nakupenda
we,
mi
nakupenda
wewe
Nakupenda
we,
mi
nakupenda
wewe
Nakupenda
we,
mi
nakupenda
wewe
Nakupenda
we,
mi
nakupenda
wewe
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili,
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili,
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili,
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili,
gado
Kamili,
gado
Kamili
gado
Kamili,
kamili,
kami,
kamili,
kamili,
gado
Kamili
gado

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.