Rama Dee - Protocol (Protokali) paroles de chanson

paroles de chanson Protocol (Protokali) - Rama Dee



Nafata protocol
Protocol kali
Nimekaa jela nyingi za mapenzi
Ila kwako nipo huru
Kwenye Liza kinene ikatokea huru
Mateso mengi nimepata nashukuru nipo huru
Oooh
Kwenye Liza kinene ukatokea nuru
Pepo kali zinavuma
Nifiche kwenye pwani ya huba
Pwani na dhuroba
Nikugande kama ruba
Ujana mwingi pupa
Nahisi nimezaliwa upya
Kwenye Liza kinene ukatokea nuru
Mateso mengi nimepata nashukuru nipo huru
Ooh
Nafata protocol
Protocolkali nikiwa na mtoto
Mtoto mkali ×2
Nampa kitu anapendaga eeh
Ndo kitu napendaga eeh
Na kula vyako bila wasiwasi
Ladha yako haina mfano za kwako hazipati
And you know
Kutwa mara tatu we go
Na nina taka kujua kinachonikosha kwako wewe dada
Rangi yako ya dhahabu mjeledi inanisulubu kweli vilevi
Na haujipangi sana upo ready
Na ninao kuhitaji popote upo ready
Kwenye kiza kinene
Ukatokea nuru
Mateso mengi nimepata
Nashukuru nipo huru
Unafata protocol
Protocal kali
Nikiwa na mtoto
Mtoto mkali
Nampa kitu anapendaga
Ndo kitu napendaga eeh×2
End




Rama Dee - Kipenda Roho
Album Kipenda Roho
date de sortie
08-09-2017




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.