Rama Dee - Usihofie Wachaga - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Rama Dee - Usihofie Wachaga




Usihofie Wachaga
Don't Be Afraid of the Wachaga
Sioni, hatari mbele ya penzi letu
My love, don't be afraid of the obstacles ahead of us
Pendo letu, lifike mbali uh baby
May our love last forever, my baby
Linda love, waepuke mashost wote wasio na maana.
Protect our love, and avoid all those silly gossipers
Hapa duniani wabaya wamezidi nguvu wazuri mpenzi
In this world, the wicked outnumber the good, my love
Hata manabii walipigwa mawe usoni moyoni haikuathiri {mpenzi}.
Even prophets were stoned, but it didn't break their hearts {my love}
Usihofie colour, gizani mwanga, I love you baby mi ndo taa
Don't be afraid of the color, of the darkness, I love you baby, I'm the light
Usihofie wachaga, Wahaya mama, upendo hauchagui kabila
Don't be afraid of the Wachaga, or the Wahaya mama, love doesn't discriminate
Hatari mola atuepue
May God protect us from danger
Baraka Mola atushushie.
May God bless us with his grace
Na na nanana,
Na na nanana,
Na na nanana.
Na na nanana.
Maudhi yasitupitie,
May sadness pass us by,
Furaha kubwa ituingie.
May great joy come to us.
Na na nanana,
Na na nanana,
Na na nanana.
Na na nanana.
... ...
... ...
Nkusimulie hadithi nzuri zenye muendelezo, za mahaba ufarijike.
Let me tell you beautiful stories that will continue, of love that will comfort you
Nkumbatie ukihisi msongo wa mawazo
Let me hold you when you're feeling stressed
Ntakushusha pressure iwe normal.
I'll lower your blood pressure so it's normal
Kwani kuelewana, kushikamana,
Because understanding, togetherness,
Kuridhiana ndio nguzo imara tuepushe utata nasi tufike tomorrow.
Compromise are pillars that are strong, so we can avoid conflict and reach tomorrow together
Hivi ndivyo love, usione watu wakiishi kwa furaha wamefungua kurasa
This is what love is, don't see people living happily and think they have some secret
Usihofie colour, gizani mwanga, I love you baby mi ndo taa
Don't be afraid of the color, of the darkness, I love you baby, I'm the light
Usihofie Wachaga, Wahaya mama, upendo hauchagui kabila.
Don't be afraid of the Wachaga, or the Wahaya mama, love doesn't discriminate
Hatari Mola atuepue
May God protect us from danger
Baraka Mola atushushie
May God bless us with his grace
Na na nanana {pendo leetu, ooh love}
Na na nanana {our love, ooh love}
Na na nanana.
Na na nanana.
Maudhi yasitupitie {mimi nawee}
May sadness pass us by {me and you}
Furaha kubwa ituingie
May great joy come to us
Na na nanana
Na na nanana
Na na nanana.
Na na nanana.
Hatari Mola atuepue {penzi letuu}
May God protect us from danger {our love}
Baraka Mola atushushie {kheri yetuu}
May God bless us with his grace {our blessings}
Na na nanana
Na na nanana
Na na nanana.
Na na nanana.
Maudhi yasitupitie {nuru yetuu}
May sadness pass us by {our light}
Furaha kubwa ituingie {kheri yetu baby ooh!!}
May great joy come to us {our blessings baby ooh!!}
Usihofie colour
Don't be afraid of the color
Gizani mwanga
Of the darkness
I love you baby mi ndo taa.
I love you baby, I'm the light
Usihofie Wachaga, Wahaya mama, Upendo hauchagui kabila.
Don't be afraid of the Wachaga, or the Wahaya mama, Love doesn't discriminate
. ... ... .
. ... ... .






Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.