Rich Mavoko - Naogopa paroles de chanson

paroles de chanson Naogopa - Rich Mavoko



This is awesome
Freenation
Nipige guitar, keyboardi
I will sing as well
Niimbe tamu melody
I will take from there
Remember Mtukudzi todii
Ukumbuke wee
Niforce nilipe kodi
Niishi nawe
Nimeridhika mtoto we maridhawa(kwa umboo)
Patashika chingi kagawa (kiungooo)
Kama nakuona unaingia chumbani
(Unaingia chumbani)
Nakuona unapanda kitandani (eeh)
Kama nakuona unaingia chumbani
(Unaingia chumbani)
Nakuona unapanda kitandani (eeh)
Oooh my sweetie bby
I miss you ooh
(Umebeba moyo wangu)
I Love you oooh
My sweetie bby
I miss you ooh
Unaninogesha kwacha chondo
I love you (oooh)
My sweetie bby (oooh)
Naogopa ugonjwa wa moyo (huo huo)
Ugonjwa wa moyo huo
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Moyo nitaubebaje?
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ugonjwa wa moyo huo (huo)
Kukuacha naanzaje?
Aaah aaah Salima
Mama Salima
(Hahahaha)
Papi kocha chea Salima
(Salima mi bado)
Aaah aaah naima
Kweli naima
Umenibisha kisa karena (aaah)
(Nizike)
Kule mchupa mchideo
(Mchideo na mchideo)
Nilikuona kwenye chideo
(Chideo na chideo)
Mchezaji kapewa dondo(kocho kocho)
Mi kwako kwa kumdondo (kocho kocho)
Mpenzi upofu fungua zako chongo(kocho kocho)
Mpenzi ooooh
My sweetie bby oooh
I miss you ooh
(Umebeba moyo wangu)
I Love you oooh
My sweetie bby
I miss you ooh
Unaninogesha kwacha chondo
I love you (oooh)
My sweetie bby (oooh)
Naogopa ugonjwa wa moyo (huo huo)
Ugonjwa wa moyo huo
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Moyo nitaubebaje?
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ugonjwa wa moyo huo (huo)
Kukuacha naanzaje?
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ugonjwa wa moyo huo (huo)
Moyo ntaubebaje?
Naogopa ugonjwa wa moyo huo
Ugonjwa wa moyo huo (huo)
Kukuacha naanzaje?
Free Nation



Writer(s): Rich Mavoko


Rich Mavoko - Naogopa
Album Naogopa
date de sortie
01-03-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.