Rich Mavoko - Silali - traduction des paroles en anglais

Paroles et traduction Rich Mavoko - Silali




Silali
Silali
Kwingine sitamaani, ila ahadi uliyonipa moyoni, nahisi ni shetanii alonibadili mawazo
Anywhere but here, your promise in my heart, I feel like the devil changed my mind
Kichwani... mmmh -ona mapenzi ni mfano wa dini, nimezama ni vigumu kutoka ona na kesha ni kama bundi nikilala kuna kitu nakiota (Umenipa upofu unahiiiidi mboni zangu Unaniumiza!!! Ukanipa donda ndugu moyoni mwangu maumivu yalopitiliza)✖️2
In my head... mmmh - see love is like a religion, I'm drowning, it's hard to get out, an owl on watch, if I sleep, there's something I dream of (You've given me blindness that you promise will heal my eyes You hurt me!!! You gave me a wound in my heart, pain that's gone too far)✖️2
(Mbona silali, kisa mawazo mwenzako sili, ona watoto nyumbani wanauliza wapi mumy?)✖️2
(Why don't I calm down, because I don't like your ideas, see the children at home asking where's mommy?)✖️2
Ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo
I would drink and ease my mind
Lakini siweziii..., nahisi kama ndo nitanzidisha mawazo kwa maumivu ya mapenzi!!
But I can't..., I feel like I'll only increase my thoughts with the pain of love!!
...to be continue
...to be continued
Davis
Davis






Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.