paroles de chanson Silali - Rich Mavoko
Kwingine
sitamaani,
ila
ahadi
uliyonipa
moyoni,
nahisi
ni
shetanii
alonibadili
mawazo
Kichwani...
mmmh
-ona
mapenzi
ni
mfano
wa
dini,
nimezama
ni
vigumu
kutoka
ona
na
kesha
ni
kama
bundi
nikilala
kuna
kitu
nakiota
(Umenipa
upofu
unahiiiidi
mboni
zangu
Unaniumiza!!!
Ukanipa
donda
ndugu
moyoni
mwangu
maumivu
yalopitiliza)✖️2
(Mbona
silali,
kisa
mawazo
mwenzako
sili,
ona
watoto
nyumbani
wanauliza
wapi
mumy?)✖️2
Ningekunywa
pombe
ili
nipunguze
mawazo
Lakini
siweziii...,
nahisi
kama
ndo
nitanzidisha
mawazo
kwa
maumivu
ya
mapenzi!!
...to
be
continue
Davis

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.