Rich Mavoko - Usizuge paroles de chanson

paroles de chanson Usizuge - Rich Mavoko



Square music
Yaani mzuri nishai, ukimtazama
Na hiyo rangi ya dubai.
Hapaki hata caro light, namwaga wino, mi naye till i die.
Nishaweka sana lindo, hadi urimbo, wala hanati huyu mrembo
Nahisi hataki tuonane(why)
For sure baby you my(why)
Iwe usiku iwe mchana(why)
Sipati hata kampani(why)
(Oyoo)
Usizuge baadae(woyoo ooh)
Si unipe dada we(woyoo)
Umefanana na mama eeh(woyo)
Mi niwe baba eeh(woyo oh)
Usizuge baadae(woyoo ooh)
Si unipe dada we(woyoo)
Umefanana na mama eeh(woyo)
Mi niwe baba eeh(woyo oh)
Tuka relax garden, tupate mango passion
Najua unapendaga fashion, zawadi ya jeans dozen
Nikikuona tu na smile hata ukinuna mi mzima,
Ilo jicho ka upo hai umenitafuna mazima
Nishaweka sana lindo, hadi urimbo, wala hanati huyu mrembo
Nahisi hataki tuonane(why)
For sure baby you my(why)
Iwe usiku iwe mchana(why)
Sipati hata kampani(why)
(Oyoo)
Usizuge baadae(woyoo ooh)
Si unipe dada we(woyoo)
Umefanana na mama eeh(woyo)
Mi niwe baba eeh(woyo oh)
Usizuge baadae(woyoo ooh)
Si unipe dada we(woyoo)
Umefanana na mama eeh(woyo)
Mi niwe baba (woyo oh)
(Aje) hata nimuone
(Aje) nataka niforce
(Aje) yote niongee
(Aje) haaah haaaah
Abby daddy



Writer(s): rich mavoko


Rich Mavoko - Usizuge
Album Usizuge
date de sortie
29-05-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.