Rosa Ree - Nguvu Za Kiume paroles de chanson

paroles de chanson Nguvu Za Kiume - Rosa Ree



Sitaki mazoea na mataka taka
Ndo maana nliwachana hawa mother f--
Naona mwendo wenu umevuka mipaka
Wanaojikuta madume nawabaka baka(Aah)
Mnapenda majungu na sio wapishi
Mking'ang'ana mimi nitatingisha dishi
Bwanako nammm-- mpaka haamshi
So ata ukimpa gari hakufikishi
Changa naimada gyal, me nuh fear dem
Nkichachamaa naweza imbisha mpaka marehem
Mnaojifanya mko mbele niko nyuma yenu
Nitawafanya vibaya mbele ya wake zenu(Aah)
Nawakalisha na nimevaa sidiria
Sina nguvu za soda wala za bia
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Vumbi la Congo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey...)
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Vumbi la Congo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey...)
Huh! Tatizo anataka achambe kabla hajanya
Mi nina haiba ya paka siwezi lea panya
Huh! Naeza katukana
Mguu kwenye brake, sitaki ongea sana
Heard you said you made me
What you talking about?
Make another Rosa Ree
What you talking about?
(Huh, what you talking about?)
Make another Rosa Ree
What you talking about?
Siendi gym na hunigusi
Na supu ya pweza hainiboosti
Nikikugusa hauinuki
Na huwa siogopi matusi
Nawakalisha na nimevaa sidiria
Sina nguvu za soda wala za bia
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Vumbi la Congo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey...)
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Vumbi la Congo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey...)
Nikifika nawatii.(Soma hiyo)
Nawatiririsha nyuma mbele(Soma hiyo)
Kama kawa nawafi.(Soma hiyo)
Nawafinya wapige kelele(Soma hiyo)
Nikifika nawatii.(Soma hiyo)
Nawatiririsha nyuma mbele(Soma hiyo)
Kama kawa nawafi.(Soma hiyo)
Nawafinya wapige kelele(Soma hiyo)
Nawakalisha na nimevaa sidiria(Soma hiyo)
Sina nguvu za soda wala za bia
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Vumbi la Congo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey...)
Za kiume(Sitaki kasongo)
Nguvu za kiume(Walemewa pembe hiyo)
Za kiume(Vumbi la Congo)
Nguvu za kiume(Aii yey yeey yeey...)



Writer(s): Rosa Ree


Rosa Ree - Nguvu Za Kiume
Album Nguvu Za Kiume
date de sortie
16-08-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.