paroles de chanson Kaolewa - Rostam
It's
Rostam
baby...
Kaolewa
eeh
Na
nani
kaolewa
Wanasema
haolewi
kaolewa
Hee
Makubwa
mbona
pambee
Huyuhuyu
mwajuma
nchokonowe
Aaah
mwajuma
gani
Yule
mtoto
wa
mkunga
Asiye
vaa
za
dukani
ye
kutwa
nguo
za
mtumba
Bwana
bwana
bwana
Tayari
kapata
mchumba
Yani
huku
kumedamshi
njoo
tufinye
mpunga
Siwalisema
yule
mgumba
eti
kizazi
hana
Mtaani
kicheche
sana
imekuaje
kapata
bwana
Mmhh
Ndoa
bwana
kama
utani
mwana
Unaminyaminya
nyanya
unanunua
biringanya
Siwanasema
sigara
nyota
Nawasha
mbele
na
nyuma
Mwana
gani
huyo
goroka
Sibora
angemuoa
muna
Muna
gan
yule
Baba
willi
Acha
utani
tukeshe
mpaka
alfajiri
Mwajuma
kaolewa
(he
na
nani)
Kaolewa,
wanasema
haolewi
kaolewa
Makumbwa
mbona
pambe
Huyu
huyu
mwajuma
nchokonowe
Anamelemeta,
Anamelemeta
Anamelemeta,
Anamelemeta
Mawifi
naona
wanacheza
namshenga
Siwalisema
haolewi
Leo
wametuliza
ngenga
Walemaex
walompiga
chenga
Wanaona
wivu
mwajuma
anapigwa
denda
Mbona
wanaosema
ana
gundu
Ndo
hao
wanalishwa
keki
Na
walosema
haolewi
Ndo
wana
maliza
kleti
Wasonakadi
ndo
wameingia
bila
wito
Simlimchamba
biharusi
mbona
mnacheza
kwaito
Kampakampa
tena
uponyonyo
(nipo
titi)
Najua
hujachanga
usiogope
(cheza
mziki)
Mwajuma
anakata
mauno
anaonekana
fundi
Saitakuaje
tumuulize
ngungi
Mwajuma
kaolewa
(eeeh
kaolewa)
Kaolewa
wanasema
nimgumba
kaolewa
(eeh
na
nani)
Ham
ham
ham
ham
kaolewa
(toba)
Anamelemeta,
Anamelemeta
Anamelemeta,
Anamelemeta
Simwamini
mwajuma
hata
kama
leo
kaolewa
Nampa
wiki
tatu
tu
talaka
lazima
atapewa
We
unawivu
au
umetumwa
Au
ulimtaka
akakataa
Minampa
miaka
mia
nane
atadumu
na
utashangaa
We
mgeni
hapa
kitaa
usibishe
niskize
mimi
Wacha
mwajay
apate
raha
Kasha
dang
asana
mjini
Olivunja
ndoa
ya
baba
sembuse
huyo
kapuku
Tufinye
cha
mtume
hayo
mengine
haya
tuhusu
Anameremetaa...
Eeeh
hiii
ni
nyingine
tena
Hmm
ni
Rostam
tena
Musa
babaz
wa
babaz
Let's
take
over
the
game
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.