paroles de chanson Forever - Ruby , Tony
Kosa
si
kosa
tuna
shout
hadharani
Sometimes
njoo
tugombanie
chumbani
Haya
mapendo
yasikatie
njiani
Napenda
ukifurahi
cause
moyoni
my
number
one
Haki
ya
Mungu
wallahi,
kesho
tutaiona
sky
Napenda
ukifurahi
cause
moyoni
my
number
one
Haki
ya
Mungu
wallahi,
kesho
tutaiona
sky
Baby,
I
love
you
forever
Zaidi
tuwe
wote
together
Baby,
I
love
you
forever
Zaidi
tuwe
wote
together
Maneno
maneno
yasivuruge
amani
Tuipinge
kesho
wasicheke
pembeni
Ana
ana
do,
si
mchezo,
si
utani
Napenda
uki-smile
cause
moyoni
we
mjanja
wangu
Haki
ya
Mungu
huelewi
jinsi
unaniweka
high
Napenda
uki-smile
cause
moyoni
we
mjanja
wangu
Haki
ya
Mungu
huelewi
jinsi
unaniweka
high
Baby,
I
love
you
forever
Zaidi
tuwe
wote
together
Baby,
I
love
you
forever
Zaidi
tuwe
wote
pamoja
Nyota
na
mwezi
mashahidi
watuone
Mchana
usiku,
njozi
yako
isikome
Kwa
lugha
zote,
sema
wala
usikome
Ili
mradi
moyoni
waujua
ukweli
wote
Baby,
I
love
you
forever
Zaidi
tuwe
wote
together
Baby,
I
love
you
forever
Zaidi
tuwe
wote
pamoja
Baby,
I
love
you
forever
Zaidi
tuwe
wote
together
Baby,
I
love
you
forever
Zaidi
tuwe
wote
pamoja
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.