paroles de chanson Nerea - Sauti Sol feat. Amos & Josh
Nakuomba
Nerea,
usitoe
mimba
yangu
we
Mungu
akileta
mtoto,
analeta
sahani
yake
Mlete
nitamlea,
usitoe
mimba
yangu
we
Mungu
akileta
mtoto,
analeta
sahani
yake
Huenda
akawa
Obama,
atawale
Amerika
Huenda
akawa
Lupita,
Oscar
nazo
akashinda
Huenda
akawa
Wanyama,
acheze
soka
Uingereza
Huenda
akawa
Kenyatta,
Mwanzilishi
Wa
Taifa
Nakuomba
Nerea,
usitoe
mimba
yangu
we
Mungu
akileta
mtoto,
analeta
sahani
yake
Mlete
nitamlea,
usitoe
mimba
yangu
we
Mungu
akileta
mtoto,
analeta
sahani
yake
Huenda
akawa
Maathai,
ayalinde
mazingira
Huenda
akawa
Makeba,
nyimbo
nzuri
akatunga
Huenda
akawa
Nyerere,
aongoze
Tanzania
Huenda
akawa
Mandela,
Mkombozi
Wa
Afrika
Nakuomba
Nerea,
usitoe
mimba
yangu
we
Mungu
akileta
mtoto,
analeta
sahani
yake
Mlete
nitamlea,
usitoe
mimba
yangu
we
Mungu
akileta
mtoto,
analeta
sahani
yake
Nakuomba
Nerea,(Nerea)Nerea(Nerea)
Usitoe
mimba
yangu
Nerea,
Nerea,
Nerea
Usitoe
mimba
yangu
Huenda
akawa
Kagame(Atawale)
Jaramogi
Odinga(Tuungane)
Huenda
akawa
Tom
Mboya
Huenda
akawa
Rudisha
Huenda
akawa
Malaika,
Mungu
ametupatia
Huenda
akawa
Sauti
Sol
Huenda
akawa
Amos
& Josh...
Huenda
akawa...
Huenda
akawa
Malaika,
Mungu
ametupatia
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.