paroles de chanson Kuliko Jana - Sauti Sol feat. RedFourth Chorus
Bwana
ni
mwokozi
wangu
Tena
ni
kiongozi
wangu
Ananipenda
leo
kuliko
jana
Baraka
zake
hazikwishi
Si
kama
binadamu
habadiliki
Ananipenda
leo
kuliko
jana
Kuliko
jana
Kuliko
jana
Yesu
nipende
Leo
kuliko
jana
Kuliko
jana
Kuliko
jana
Yesu
nipende
Leo
kuliko
jana
Si
nakuomba
Mungu,
uwasamehe
Wangalijua
jinsi
unavyonipenda
mimi
wasingenisema
Na
maadui
wangu,
ninawaombea
Maisha
marefu
wazidi
kukuona
ukinibariki
Ujue
binadamu,
ni
watu
wa
ajabu
sana
Walimkana
yesu
mara
tatu
kabla
jogoo
kuwika
Ujue
binadamu,
ni
watu
wa
ajabu
sana
Walimsulubisha
Yesu
masiah
bila
kusita
Bwana
ni
mwokozi
wangu,
Tena
ni
kiongozi
wangu,
Ananipenda
leo
kuliko
jana
Baraka
zake
hazikwishi,
Si
kama
binadamu
habadiliki
Ananipenda
leo
kuliko
jana,
Kuliko
jana
Kuliko
jana
Yesu
nipende,
Leo
kuliko
jana
Kuliko
jana
Kuliko
jana
Yesu
nipende,
Leo
kuliko
jana
Wewe
ndio
natengemea
Kufa
kupona
baba
nakutengemea
Chochote
kitanikatsia
Kuingia
mbinguni
utaniondolea
Wewe
ndio
natengemea
Kufa
kupona
baba
nakutengemea
Chochote
kitanikatsia
Kuingia
mbinguni
utaniondolea
Wewe
ndio
natengemea
Kufa
kupona
baba
nakutengemea
Chochote
kitanikatsia
Kuingia
mbinguni
utaniondolea
Wewe
ndio
natengemea
Kufa
kupona
baba
nakutengemea
Chochote
kitanikatsia
Kuingia
mbinguni
utaniondolea
Bwana
ni
mwokozi
wangu
(Amen)
Tena
ni
kiongozi
wangu,
(Amen)
Ananipenda
leo
kuliko
jana,
(Amen)
Baraka
zake
hazikwishi,
(Amen)
Si
kama
binadamu
habadiliki,
(Amen)
Ananipenda,
leo
kuliko
jana,
(Amen)
Kuliko
jana
Kuliko
jana
Yesu
nipende,
Leo
mimi
kuliko
jana
Kuliko
jana
Kuliko
jana
Yesu
nipende,
Leo
mimi
kuliko
jana
Wewe
ndio
natengemea
(Amen)
Kufa
kupona
baba
nakutengemea
(Amen)
Chochote
kitanikatsia
(Amen)
Kuingia
mbinguni
utaniondolea
(Amen)
Wewe
ndio
natengemea
(Amen)
Kufa
kupona
baba
nakutengemea
(Amen)
Chochote
kitanikatsia
(Amen)
Kuingia
mbinguni
utaniondolea
(Amen)
Bwana
ni
mwokozi
wangu
(Amen)
Tena
ni
kiongozi
wangu
(Amen)
Ananipenda
leo
kuliko
jana
(Amen)
Baraka
zake
hazikwishi
(Amen)
Si
kama
binadamu
habadiliki
(Amen)
Ananipenda,
leo
kuliko
jana
(Amen)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.