Sauti Sol - Malikia paroles de chanson

paroles de chanson Malikia - Sauti Sol



Wengi wao wamenyosha mikono
wataka upokezi toka kwako
na hata wenye magari ya kifahari
najua kwako wewe hawatoshi
usinilenge
usinipelekepeleke huku na kule
uje unipende
uje hata nao mapacha unizalie
njoo nikumiliki milele
malikia tuoane
wewe ni mi
mimi ni wewe
na milele tupendane
usinifungie pazia
malikia nakuita
usinifungie pazia
malikia nakuita
(Malikia nakuita we uje unizalie*3)
malikia nakuita we uje, uje
mabepari wasio na mapenzi halali
watazidi kukunoki hoi
na hata wenye magari ya kifahari
najua kwako wewe hawatoshi
usinilenge
usinipelekepeleke huku na kule
uje unipende
uje hata nao mapacha unizalie
njoo nikumiliki milele
malikia tuoane
wewe ni mi
mimi ni wewe
na milele tupendane
usinifungie pazia
malikia nakuita
usinifungie pazia
malikia nakuita
(Malikia nakuita we uje unizalie*3)
malikia nakuita we uje, uje
malikia, karibia *4
End




Sauti Sol - Sauti Sol - Sol Filosofia
Album Sauti Sol - Sol Filosofia
date de sortie
25-02-2011




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.