paroles de chanson Nimechokwa - Shetta
That's
Stamina,
baby
Mazoea
yana
tabu
lakini
yana
mwisho
wake
Mateso
niliyompa
ume
futa
matchozi
yake
Mazoea
yana
tabu
lakini
yana
mwisho
wake
Mateso
niliyompa
ume
futa
matchozi
yake
(ka-pow!)
Kweli
ya
leo
sio
ya
jana,
ona
A
to
Z
maumivu
Kweli
ya
leo
sio
ya
jana,
ona
Ona,
A
to
Z
maumivu
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(okay)
Nacho-choma,
mazoea
(what?)
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(nimechoka)
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(okay)
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(yeah)
Na
cho-cho-choma,
Mazoea
Sura
yako
inanipa
picha
kamili
Bila
ya
vitendo
tayari
nimeshaitabiri
(mazoea)
Umekuwa
mjasiri
tena
bonge
la
msiri
Hata
kwenye
tabu
hutaki
tu-solve
wawili
Na,
haifanani
na
kiburi
bali
umechokwa
nami
Mi
sijiulizi
kwanini
umalaya
nimeufanya
dini
Hata
mashoga
zako
nawawinda
niwavue
bikini
Mi
mkauzu
kama
mbuzi
tena
mchinjia
baharini
Makosa
yanajirudi
nayote
unayabaini
Ushahidi
mpaka
sibishi
jinsi
ulivyo
makini
Machale
mpaka
na-doubt
au
unaongozwa
na
jini?
Maana
umemkamata
mwizi
kabla
ya
siku
arobaini
Mmoja
poa
tu
kwako
si
mali
kitu
Kama
ngoma
ni
local
mithili
ya
mchiliku
Mpaka
nahisi
mafala
washanipiku
Mkuki
kwa
binadamu
zaidi
ya
uchungu
wa
jipu
Umekuwa
mvivu
wa
kutimba
mahome
Hata
kwenye
sex
unanigomea
Drama
kama
filamu
mpaka
kwenye
couple
Kutesa
kwa
zam-zam,
man
Kweli
ya
leo
sio
ya
jana,
ona
A
to
Z
maumivu
Kweli
ya
leo
sio
ya
jana,
ona
Ona,
A
to
Z
maumivu
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(okay)
Nacho-choma,
mazoea
(what?)
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(nimechoka)
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(okay)
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(what?)
Na
cho-cho-choma,
mazoea
Unasema
nawapanga
vigoli
kama
mswati
Umalaya
upo
ndani
ya
damu
kamwe
siachi
Please,
hebu
nipe
nafasi
ku
discuss
Mapenzi
hayahitaji
kulipiziana
visasi
Wepesi
kunijibu
hautaki
Route
zimezidi
kama
dereva
taxi
Day
after
day
unazidisha
masharti
Hata
kiss
la
shavu
hutaki
mbele
ya
umati
Natapatapa
bila
hata
kukabwa
koo
Kisa
si
zaidi
ya
uchokozi
sipunde
utanitoa
roho
Seke-seke
unazonipa
ni
zaidi
ya
ngoma
draw
Maumivu
yanafanana
na
hukumu
ya
death-row
Malumbano,vita
ka
CUF
na
CCM,
duh
Umenichoka
mpaka
nahisi
nipo
kuzimu
Sometime
ni
shetani
so
inabudi
tumrehemu
Let's
forget
about
past
please
usinitoe
damu
baby
You
got
true
love
mpaka
najiona
kavu
Nipo
tayari
kutubu
na
msaafu
Ruksa
nikirudia
unibanike
kama
ndafu
Yeah,
that's
what's
up
Kweli
ya
leo
sio
ya
jana,
ona
A
to
Z
maumivu
Kweli
ya
leo
sio
ya
jana,
ona
Ona,
A
to
Z
maumivu
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(okay)
Nacho-choma,
mazoea
(what?)
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(nimechoka)
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(okay)
Inaniuma
nachoma,
nacho-cho-choma
(what?)
Na
cho-cho-choma,
mazoea
Mazoea,
mazoea

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.