Shilole - Namchukua paroles de chanson

paroles de chanson Namchukua - Shilole



Yeah Eyo Nahreel Wasup Wasup
Switch
Rap rapapap rap rap rap
Rap uwaaa rap
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Namleta namweka wa!
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Namleta Namweka Wa!
Fu fu fu
Fungu langu bado mbona mnanuna
Hili bado langu hamwezi nipokonya
Ninajituma Mola ananipa
Bado mimi ninazidi wapoteza eh
Haki yangu si yako
Miziki yangu si yako Fanya yako
Miziki yangu si yako Fanya yako
Miziki yangu si yako Fanya yako
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Namleta namweka Wa!
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Namleta Namweka Wa!
Pa pa pa
Panga pangua nimeshajipanga
Shughuli yako ndugu ishaisha
Ba ba ba Bado nasonga mbele
Nami napanda kwenye kilele
Wakileta Shishi Baby napeta
Wakileta Shishi Baby napeta
Wakileta Shishi Baby napeta
Wakileta Shishi Baby napeta
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Namleta Namweka Wa!
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Namleta Namweka Wa!
Pranga nga nga nga
Nga nga ngi nga ngi nga nga mhh
Nga nga ngi nga nga
Pranga ngi nga ngi nga nga wa!
Mina lingaga Shishi baby Lingaga nywii
Mina lingaga Mama mama lingaga nywii
Mina lingaga Shishi baby Lingaga nywii
Mina lingaga mama mama lingaga
(Rap rap rapapap)
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Ale chuku namchukua
Namleta namweka wa! ×2



Writer(s): Zuwena Yusuph Mohamed


Shilole - Namchukua
Album Namchukua
date de sortie
28-07-2014




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.