Shilole - Say My Name paroles de chanson

paroles de chanson Say My Name - Shilole



Tekino baby(kunguru),
Tekino baby (ameruka kunguru),
Mama tekino baby,
You make me kwasa,
You make me kwasa kwasa eeh.
Ni shimo la wengi (kunguru),
Mie ndo shimo la wengi (ameruka kunguru),
Mie ndo shimo la wengi kuweka taka, kuweka taka taka eeh.
Igunga mpaka njombe, kweli nimesota,
Shida nlizopita, kamwe sitaki kukumbuka,
Say my name shishi, mwanamke mbishi,
Nazijua dhiki, kikaragosi hanitishi.
Najua wananiombea mabaya,
Si ulijua ntayumba,
Wa kuzuia ni mola,
We binadamu utashindwa, shishi baby.
Tekino baby(kunguru),
Tekino baby (ameruka kunguru),
Mama tekino baby,
You make me kwasa,
You make me kwasa kwasa eeh.
Ndo shimo la wengi (kunguru),
Mie ndo shimo la wengi (ameruka kunguru),
Mie ndo shimo la wengi kuweka taka, kuweka taka taka eeh.
Siku hizi unavuta sigareti, ash.! unastress,
Kaka mbona husomeki, ash.! hubebeki,
Nakujua a to z, wewe aah my baby,
Kweli hubebeki, ama kweli wema huu?
Tekino baby(kunguru),
Tekino baby (ameruka kunguru),
Mama tekino baby,
You make me kwasa,
You make me kwasa kwasa eeh.
Ndo shimo la wengi (kunguru),
Mie ndo shimo la wengi (ameruka kunguru),
Mie ndo shimo la wengi kuweka taka, kuweka taka taka eeh.
(Tekino baby, tekino baby, tekino baby,)




Shilole - Say My Name
Album Say My Name
date de sortie
07-09-2016




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.