Size8 - Jemedari paroles de chanson

paroles de chanson Jemedari - Size8



Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Amekuwa mkali
Tangu enzi za kale
Yeye jemedari
Habadiliki kamwe
Kawapa waisraeli tumaini
Ayubu na mateso ya shetani
Nampa pongezi jemedari wangu mwenyezi
Hata nikosee nipotee
Yeye yunami
Hata nikosee nipotee
Yeye yunami
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Amekuwa mkali
Tangu enzi za kale
Yaye jemedari
Habadiliki kamwe
Kawapa waisraeli tumaini
Ayubu na mateso ya shetani
Nampa pongezi jemedari wangu mwenyezi
Hata nikosee nipotee
Yeye yunami
Hata nikosee nipotee
Yeye yunami
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Kama amenitendea mimi
Hata wewe (hata wewe)
Atakutendea
Kama amenitendea mimi
Hata wewe (hata wewe)
Atakutendea
Cheza kwa yesu aa aa aaa
Ruka kwa yesu aa aa iii
Kama amenitendea mimi
Hata wewe (hata wewe)
Atakutendea
Kama amenitendea mimi
Hata wewe (hata wewe)
Atakutendea
Cheza kwa yesu aa aa aaa
Ruka kwa yesu aa aa iii
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda ii
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Yale ametenda eya
Eya eya eya
Yale ametenda eya
(End)




Size8 - Afadhali Yesu
Album Afadhali Yesu
date de sortie
02-03-2016




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.