Stereo - Confidence paroles de chanson

paroles de chanson Confidence - Stereo



Yeah!
Big stereo
Duke Touches
Aaaah!! Yeah!
Nawanyea kama choo cha siti
Player nawapwea wanapea kwa beat
Hatuendi pear kama squire kula mmea kwa jiti
Na wakina sauli nawa spear
Daudi wa sweet nipo fit
Lines chafu kama suit ya conductor
Mi ni buti lenye chuma mungiki nimedata
Nipo fasta kama duma na puma itabaki chata
Sitemi unapotema nkitema natema tata
Cheza chakacha na chinj umevaa chachacha
Muulize kibacha we bitozi usienijua kwa sasa
Star umefungwa ni lini utatoka jela
Na umekufa kwenye trella ya movie za kina mlela
Masela, kambi siisaliti sihasi, nawahasi nakula nyasi kama farasi
Sina wasi mi nachana we unadance bila wasi hii nafanya mi nachanya wewe unahasi
Bado unafugwa kama kuku mwenye mdondo Verse kubwa na imekazwa kama buti la msela nondo
Mi sisajiliwi nikicheza nacheza ndondo
Sifagiliwi kitambo kama mgambo mtaa wa kongo
Mistari mingi kama videsa vya mjojo
Hawatulii kwenye lacture kama wamebanwa na mkojo
Nani nadomo kaya bila hata mandojo
Nipo on fire ka baba ubaya hauniwezi mamdogo
Yeah so so compitent floor yenye confidence
Ngoja dah skiza kisha copy sense
Pata wazo kila somo
Biashara matangazo hii inajiuza bila promo
So so compitent floor yenye confidence
Ngoja dah skiza kisha copy sense
Pata wazo kila somo
Biashara matangazo hii itajiuza bila promo
Watu wana laana tangu enzi za utumwani
Mistari inawachanganya kama mapenzi ya ukubwani
Hiki cha kike kaimbe tenzi kanisani
Hacha nisukike ma MC wananienzi kama Sultan
Buti imekazwa kama mzigo wa kuni
Nawateka kama banda ya mikanda ya ngumi
Mistari yangu imebalehe yao haijavunja ungo
Juu kikoi kati zima koroboi chini dundo
Mangi naomba fegi na jojo chenchi inabaki
Inawasha kama chachandu ya mchoma mishkaki
Hii ni first first preach we first first snitch
Ukitaka beto njoo umebeba firt aid kit
Na hizi sio story za once upon the time
Kwenye mdundo sina wema chechema natema ryme
Ukimercy na shori ndo basi hupewi utamu
Hizi tungo zinakuacha kilema unatema damu
Nanata na midundo kama JCB kigenge
Nimedata na midundo na nina cheti cha mirembe
Nyoa denge kama Shabarang
Noa wembe, noa jembe acha uzembe hii ndo shege dance
Roho inafunguka nazibua kana fisadi
Floor imetukuka kama dua ya ustadhi
Nafanya ibada kama mhemiwa Rubigu
Na nakutia woga kama unacross pori usiku
Yeah so so compitent floor yenye confidence
Ngoja dah skiza kisha copy sense
Pata wazo kila somo
Biashara matangazo hii inajiuza bila promo
So so compitent floor yenye confidence
Ngoja dah skiza kisha copy sense
Pata wazo kila somo
Biashara matangazo hii itajiuza bila promo
Kuuza nyago i don't like tunga like or wat
All i need is one mike nichanike lamar
Usiuze kuhusu production jali kile na score
Michano imegeuga fasion kila bwege anafloor
Jogoo anawika city centre mapinduzi toka shamba
Nawatenga hawa gentle MC wasome namba
Nawachuja kama NECTA Legendary mi ndo mwamba
Nawpuga kama recta seminary uwezi tamba
Unaponiiiga Tembo jiandaee kupasuka msamba
Sina urembo unaonikembo wanatremble ninavyobamba
Unasema vitendo sina mwisho mwampamba
Ustaa wa kazi si wa skendo yie mnaunga mi najamba
Ucheki na mimi kama wonder kwenye mganda akili za multi O na wonder za mambanda kamanda na magwanda kama kino na cygon
Tega sikio kama Evanda nikupe jino kama Tyson
Ya kale sipostpond wanasema interible
Sio first sio last born nachotema incredible
Niko macho wameuwawa wamekoma hawarudii
Huu ni ujio wa popo bawa jeans haikusaidii
Yeah so so compitent floor yenye confidence
Ngoja dah skiza kisha copy sense
Pata wazo kila somo
Biashara matangazo hii inajiuza bila promo
So so compitent floor yenye confidence
Ngoja dah skiza kisha copy sense
Pata wazo kila somo
Biashara matangazo hii itajiuza bila promo



Writer(s): stereo


Stereo - African Son
Album African Son
date de sortie
01-06-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.