Subha - Savannah paroles de chanson

paroles de chanson Savannah - Subha



Ungelikuwa wazi mwanzo
Imani yangu kwako mwanzo
Na siwezi jilaumu kwa chanzo
Kilichofanya nitazame upande mwingine
Unajua mapenzi ya dhati nilikosa
Moyoni nikateswa na vidonda
Naelewa bila we siwezi ishi
Ila inabidi niji-force
Baby, one day
(one day) Why you always tell me "one day"
(one day) Tell me "one day"
(one day) You gonna be with me baby
You always tell me "one day"
(one day) Tell me "one day"
(one day) Always tell me "one day"
Utakuwa na mimi mpenzi
You always tell me
Ananipa kile nachopenda
Yule, nimempa nafasi ili niwe wake
Na naona lolote la kufanya tu ready, pole
Kwenye ngome mfalme ndo ye
Tatizo hukuonesha hata tone la furaha
Ulidhamiria kupata leo jeraha, usin
Nandy
Image
Share 0
Create a Link
No comments:
Post a Comment
Links to this post
Powered



Writer(s): subha


Subha - The New Illusions
Album The New Illusions
date de sortie
11-10-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.