paroles de chanson Naona Bado - Sudi , Amileena
Ninaona
bora
afadhalli
basi
nioe
mke
basi
muwe
wawili
Nimepungua
yangu
imani,
wananicheka
ona
majirani
Penzi
nilo
kumwagia,
utamu
wa
ndoa
unaniishia
(aah)
Wazazi
wanaulizia,
mpaka
lini
watasubiria?
Eh
Nayaheshimu
yako
maamuzi,
mara
mbili
fikiria
Ujana
moshi
hauna
ujuzi,
sote
njia
tunapitia
Nayaheshimu
yako
maamuzi,
oh,
oh
Ujana
moshi
hauna
ujuzi,
mke
wangu,
eeh
Naona
bado,
naona
bado
(hujarudhia
kuishi
na
mimi)
Naona
bado,
naona
bado
(ndio
maana
hutaki
kuzaa
na
mimi)
Naona
bado,
naona
bado
(hujarudhia
kuishi
na
mimi)
Naona
bado,
naona
bado
(ndio
maana
hutaki
kuzaa
na
mimi)
Ah
éh,
éh,
ah,
éh,
éh,
éh,
éh
Ah,
éh,
éh,
éh,
éh
Mbona
ogfya
hadharani,
na
matisho
za
mke
wa
pili
Najawa
mie
na
majonzi,
kwa
kujua
tena
hauniamini
Naomba
uwe
na
subira,
sioni
jinsi
sitaki
kukuzalia
(aah)
Wakati
wetu
utafika,
tuwe
na
sisi
familia
Hayaheshimu
yangu
maamuzi,
naomba
penzi
wewe
subiria
Hili
jambo
nzito
la
uzazi,
bado
mie
nalifikiria
Heshimu
yangu
maamuzi,
oh,
oh
Hili
jambo
si
la
ujuzi,
bado
mie
nafikiria
Naomba
bado,
naomba
bado
(muda
hujafika
kuzaa
nawe)
Naomba
bado,
naomba
bado
(subiri
kidogo
bwana
we)
Naomba
bado,
naomba
bado
(muda
hujafika
kuzaa
nawe)
Naomba
bado,
naomba
bado
(subiri
kidogo
bwana
we)
Ah,
ah,
ah,
ah,
ah
Héh,
héh,
héh,
hei
yi
Nimejaribu
kukwambia,
hebu
tuzae
hata
mtoto
mmoja
Majibu
nimesubiria,
sikuelewi,
daily
unasema
ngoja
Unaogopa
kupoteza
ujana?
(No)
unataka
tuishi
kama
jana?
(No)
Eti
bado
mapema
(yeah),
kifungu
gani
cha
ndoa
kimesema?
(Kipo)
Hayaheshimu
yangu
maamuzi,
naomba
penzi
wewe
subiria
(aah)
Hili
jambo
nzito
la
uzazi,
bado
mie
nalifikiria
Nayaheshimu
yako
maamuzi,
oh,oh
Ujana
moshi
hauna
ujuzi,
mke
wangu
eh,
eh
Naona
bado,
naona
bado
(hujarudhia
kuishi
na
mimi)
Naona
bado,
naona
bado
(ndio
maana
hutaki
kuzaa
na
mimi)
Naomba
bado,
naomba
bado
(muda
hujafika
kuzaa
nawe)
Naomba
bado,
naomba
bado
(subiri
kidogo
bwana
we)
Sudi
we!
Wacha
papara
(aah),
muda
wetu
utafika...
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.