paroles de chanson Instrumental - Tamu
Wasafi
Records...
Ooh
Kasuku
mwenye
sauti
nyororo
Mususu
ya
soro
Ndombolo
Na
bando
letu
la
buku
Twapeluzi
mpaka
tommorrow
Mambo
iko
Huku
Penzi
twalila
kwa
solo
Hmmm
Anipelekesha
msobe
msobe
Kama
fuso
Lapanda
mlima
Na
nilivyo
fundi
kuchelewesha
Kobe
kobe
Simpi
dusko
Nzima
nzima
(aah)
Mukoroge
sumu
mnywe
kwenye
vijiba
vya
roho
Yata
wa
Toka
mapunye
Mumwe
kwashakoo
Tena
wavimbe
na
wanune
ishakua
yako
Itafune
imung′unye
ifike
kunako
ooh
baby
Kushika
kiuno
(tamu)
Niku
Chumu
chumu
(tamu)
Niki
kukumbatiaa
(tamu)
Tamu
kolea
Penzi
letu
baby
(Tamu)
Yani
mpaka
kisogoni
(tamu)
Torororoo
(tamu)
Tamu
kolea
Baby
Tufanye
wazi
wazi
watuone
Picha
weka
DP
na
makopa
kopa
caption
Baby
Walokosa
kazi
wanong'one
Wapandishe
BP
Wapumue
kwa
oxygen
Waambie
Vimberu
mberu
Sio
penzi
la
mashaka
Tusha
soma
dua
kusitirika
Kwa
Wenye
macho
ya
paka
Wambiee
Mimi
beberu
sio
jogo
la
pasaka
Wanajizugua
kukunja
ndita
watazeeka
haraka
Steel
wire
ananisugua
(
Kwa
makovu
kovu)
Hanaga
mbaya
laazizi
(
Show
mbovu
mbovu)
Tena
fundi
mwaya
Kazi
anaijua
(
My
love
love)
Haijawahi
kupwaya
yani
kiivi
Mukoroge
sumu
mnywe
kwenye
Vijiba
vya
roho
Yata
wa
toka
mapunye
Mumwe
kwashakoo
Tena
wavimbe
na
Wanune
ishakua
yakoo
Itafune
imung′unye
ifike
kunako
ooh
baby
Kushika
Kiuno
(tamu)
Niku
chumu
chumu
(tamu)
Niki
kukumbatiaa
(tamu)
Tamu
Kolea
Penzi
letu
baby
(tamu)
Yani
mpaka
kisogoni
(Tamu)
Torororoo
(tamu)
Tamu
kolea
Ebo
baby
mtoto
kakua
(
Kasima
dede)
Nimtazame
(
Kasimama
dede)
Mwana
anatembea
(
Kasimama
dede)
Yani
tee
tee
Anataka
aking'ate
(
Kasimama
dede)
Kaona
kitumbua
(
Kasimama
dede)
Amekua
baba
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.