Teba - Shida Ni paroles de chanson

paroles de chanson Shida Ni - Teba



Shida ni me nangaa kama jua,yaani me ni mkali hadi Jones anajua
Shida ni wananiita sumbua,me ni ka ukimwi jo me sina cure
Shida ni bado hawajanitambua,lakini soon enough itabidi wamenijua
Shida ni vile me huwa naua,nabonga tu kiasi manzi yako ashavua
Shida ni vile ninawakamata
Shida ni me sibongi na mafala
Shida ni hapo kwa stage nikipanda
Shida ni that nikitaka ninapata
Shida ni vile ninawakamata
Shida ni me sibongi na mafala
Shida ni hapo kwa stage nikipanda
Shida ni that nikitaka ninapata
Naleta moto yaani me nadrop heat
Niite kanjo me narun hizi streets
Naleta action Bruce Lee kwenye mix
Naingia tu sijali ka niko kwa list
Shida ni I'm getting checks like a Nike store
Kama Kylie na Travis me naleta storm
I'm getting big, I'm getting paid like a Nikey boy
And very soon me nafuatwa na maconvoy
Me siwashow game yangu naificha
Na me sibebi vitu fake ka sidika
Yaani vile kila kitu me huzika
Naacha kila msee pale tu akiwika
Shida ni vile ninawakamata
Shida ni me sibongi na mafala
Shida ni hapo kwa stage nikipanda
Shida ni that nikitaka ninapata
Shida ni vile ninawakamata
Shida ni me sibongi na mafala
Shida ni hapo kwa stage nikipanda
Shida ni that nikitaka ninapata
Moving too fast you can't get on my sh*t
Me ndo boss hapa hivi songa please
Achanga kujichocha ati we ndo mzii
Me ndo Superman hapa me ndo man of steel
Niko pale bez tu jo me napimia
When the time is right hapo ndo me navamia
Namurder hii song na nikimada ntarudia
Nashikilia hii game kama sidiria
Victory lap R.I.P to Nipsey
Naacha watu mdomo wazi kama fisi
Vitu me husema watu wanachizi
Wanabaki wakiuliza ka me ni chizi
Shida ni vile ninawakamata
Shida ni me sibongi na mafala
Shida ni hapo kwa stage nikipanda
Shida ni that nikitaka ninapata
Shida ni vile ninawakamata
Shida ni me sibongi na mafala
Shida ni hapo kwa stage nikipanda
Shida ni that nikitaka ninapata




Teba - Shida Ni
Album Shida Ni
date de sortie
03-08-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.