The Mafik - Passenger paroles de chanson

paroles de chanson Passenger - The Mafik



Kigori ushanipiga roba kabali
Silali penzi nshacheza kamali
Natupa kwako dolali
Kwengne cna habar
Penzi lako tam tam hatar
Sipend kuona ukinuna we ndo furaha yangu mie mie
Yani penzi lako tam tam hatar
Unanikosha pale aeeeeh
Unavonyumbulika nyumbulika on bed
Yan dosalale umeniweza kabsa cjiwezi
Am yo passenger ooh passenger ooh baby




The Mafik - Passenger
Album Passenger
date de sortie
17-02-2018




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.