The Mafik - Sheba paroles de chanson

paroles de chanson Sheba - The Mafik



Unakila sifa na sababu yakupendwa wewe
Basi acha niringe najua kuchagua
Na nashukuru wanipenda, nakupenda
Atuachani mola ndo ka amua.
Huko nyuma nishafanya (yaan visa)
Bado huko nami dada nasema leo
Yani we nimzuri tuuuu, mhhhh
Kipoda makeup na shedua waachie wao
Ufanani. we ni natural beuty. Tukikosa nakopa ndanga tuwaachie wao
Kwako nishadata, nishanasa kishenzi
Moyo unakataa kukuacha siwezi
Kiwanjani wasafaa unayajua mapenzi
Kwako natangaza ndoa...
Mamie mwali babae mwali
Njooni mshuudie leo
Dadae mwali, kakae mwali ihiiii
Njooni tujimwage leo ooooohhh
Sheba
Sheba
Sheba ooooho
Sheba
Sheba
Sheba ooohh
Sheba
Sheba
Sheba ooohoo
Sheba
Sheba
Sheba ooohoo
Utamu wa asali si sawa na sukari
Kama mwanamke ni bidhaa basi we ghali
Tuombe kwa jalali.
Aepushe dhohari
Milele tuishi na furaha
Pesa sio malii
Mcheshi mpole yale ya mkole ulifunzwa kweli
Swala la mapishi nakupa eko
Aaaah,
Usafi busara imani ya dini umeshika kweli
Mengine ni siri kusema mwiko
Kwako nishadata, nishanasa kishenzi
Moyo unakataa kukuacha siwezi
Kiwanjani wasafaa unayajua mapenzi
Kwako natangaza ndoa...
Mamie mwali babae mwali
Njooni mshuudie leo
Dadae mwali.kakae mwali ihiiii
Njooni tujimwage leo ooooohhh
Sheba
Sheba
Sheba ooooho
Sheba
Sheba
Sheba ooohh
Sheba
Sheba
Sheba ooohoo
Sheba
Sheba
Sheba ooohoo



Writer(s): Hamadi Saidi Hassan


The Mafik - Sheba
Album Sheba
date de sortie
17-05-2018

1 Sheba




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.