paroles de chanson Badman - Tunda Man , Harmonize
Cough
(Mafia)
Mi
sio
Mwanaume
wa
Panga
Wala
sio
Mwanaume
wa
Shoka
Ila
na
roho
mbaya
mpaka
wachawi
wanaogopa
Kwangu
mke
bora
anapatikana
Kimboka
Nishawahi
fanya
Balaa
mpaka
Shetani
anaogopa
Nishaua
sana
Panya
bila
kutumia
Sumu
Nishatumiaga
beseni
kubebea
majukumu
Mwenzenu
kumpiga
boss
kwangu
sio
kazi
ngumu
Mtoto
wa
miaka
miwili
namvutisha
(Ndumu)
Yaani
naogopwa
kama
kelele
za
mwizi
Ukipanga
kuniroga
ujue
unaroga
Chizi
Kwenye
bwawa
la
Mamba
mi
napiga
mbizi
Na
nikifa
siachi
peko
naacha
fizi
(Oyaa
Mi
Mtu
Mbad)
Wanangu
mi
mtu
Mbaya
(Oyaa
Mi
Mtu
Mbad)
Wanangu
mi
mtu
Mbaya
Cough
Hata
ukienda
kwa
muganga
Kutambika
jina
langu
Atakujibu
nishazikwa
We
soma
matanga
Kisha
niibuke
na
wanangu
Tunakula
kitakachopikwa
Njia
nilizopita
hazinaga
mfano
Mwenzako
nimeshapita
hadi
tundu
la
sindano
Lengo
kutimiza
ndoto
na
sio
mashindano
Ndo
maana
nawasha
moto
na
sina
mfano
Sina
tatizo
na
waliopanga
kunikomoa
Nawasalimu
mliosema
sitoboa
Mtaani
ngoma
zina
(Hit)
mpaka
zinaboa
Tena
siimbi
sana
na
smoke
na
kukohoa
(Cough)
Mi
kioo
nitazame
ujione
Ukiweza
nachofanya
hebu
fanya
tuone
Aidha
ufe
au
upone
sina
dhihaka
hata
tone
Na
ukijifanya
unanijua
mi
sitaki
unione
Sifa
za
Tembo
siku
zote
huwaga
mpole
Ingawa
ana
siri
nzito
za
Aristotee
Lokolee
Yaani
ukimuudhi
sana
atakupa
kidole
Hiki
cha
kati
upoo
kwa
mpoyole
(Oyaa
Mi
Mtu
Mbad)
Yaan
wahuni
nishaoza
nishachanganyikiwa
Wanangu
mi
mtu
Mbaya
Ukijitusu
kunichokoza
utachangamkiwa
(Oyaa
Mi
Mtu
Mbad)
Eei...
Wanangu
mi
mtu
Mbaya
Eei...
Cough
(JESHIII)
Mwenzeni
kukuwa
kafara
situpi
nakula
mpaka
vibudu
(Oyaa
Mi
Mtu
Mbad)
Simuogopi
mwanadamu
mwenzangu
Mungu
ndo
nasujudu
(Cough)
Wanangu
mi
mtu
Mbaya
Demu
unaemuona
nyota
Ukilala
unamuota
Wahuni
tushapiga
Uwa
galagaza
Siku
umemuokota
akakuona
unasota
Unampiga
na
picha
ndo
unamsambaza
(Fuck)
(Konde
Music
World
Wide)
Tunda
Man
na
Bakhresa
Eeeh
(The
Mix
Killer)
(Oyaa
Mi
Mtu
Mbad)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.