Vanessa Mdee feat. Jux - Juu paroles de chanson

paroles de chanson Juu - Vanessa Mdee , Jux

Only
Jux
"Juu"
(& Vanessa Mdee)
Intro
Swiitch
(Lufaa)
Kuna muda mimi nashindwa aaah
Kufanya vitu vingi kwako
Natamani kutimiza mhhh
Ila moyo unajua jinsi gani
Navyotaka kwenda sawa nawe
Ila moyo unajua jinsi gani
Navyotaka kwenda sawa na wewe
Ahh huu huu
Na usione kama navunja yako heshima
Have been thinking about you all day
Na usione nadharau sababu ya jina
Have been thinking about you only babe
Aaaaah Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Aaaaah Nikipata umepata babe tunakwenda juu
Aaaaah Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Aaaaah Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Babeee mhhhh (Njooo babe)
Mhhhhhh yeaah yeeah (jux babe)
Upendo wetu ndo muhimu
Kuwa pamoja mimi nawe
Usije nipa wazimu kisa nakupenda we
Ila jua nafsi yangu
(Unayo wewe)
Na kila kitu changu
(Ni chako wewe)
Haa mama mia naumia Vanessa Mdee
Ukienda ntaumia yeeeiih
Na usione kama navunja yako heshima yeiiih
Na usione nadharau sababu ya jina yeeih eeh
Aaaaah Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Aaaaah Nikipata umepata babe tunakwenda juu
Aaaaah Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Aaaaah Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Babeee mhhhh (oyeeeaah aah) Juu babe
Mhhhhhh
Ohh mama mia nakupenda Juma wee
Tunakwenda Juuu
Ukiniacha Nitalia yeeah eeeiih
To mother me and you you you you you
Everything we do do do do do
You are my babe boo boo boo boo boo
Its just me and you you you you you
Forever me and you you you you you
Everything we do do do do do
You are my babe boo boo boo boo boo
Its just me and you you you you you
Have been thinking about you you you you
Everything you do do do do do
Only about you you you you you
Oooh my babe you you you you you
I'm thinking about you you you you you
You are my babe boo boo boo boo boo
Only about you you you you you
Nikipata umepata mama tunakwenda juu babee
Yeaah yeaah yeaaah yeaah yeaah usibadirike
Yeaah yeaah yeaaah yeaah yeaah usibadirike
Yeaah yeaah yeaaah yeaah yeaah usibadirike
Yeaah yeaah yeaaah yeaah yeaah
Yooouuuh
Yeaah yeaah yeaaah yeaah yeaah usibadirike

Vanessa Mdee feat. Jux - Juu
Album Juu
date de sortie
12-12-2016

1 Juu

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.