paroles de chanson Love Phobic - Wachira Gatama, Mordecai Kimeu & Kenneth Muya
Walisema
mapenzi
ni
kikohozi
Hawakukosea
mapenzi
hayafichiki
Nami
baby
niko
hapa
nasaka
riziki
Natafuta
natafuta
sukumawiki
Im
love
phobic
Im
love
phobic
eeeahh
eaahh
Naogopa
(naogopa)
naogopa
mapenzi
Im
love
phobic
Im
love
phobic
eeeahh
eaahh
Naogopa
(naogopa)
naogopa
mapenzi
Malkia
alisema
ananipenda
Na
mimi
nikasema
nampenda
pia
Sana
sana
nilikuwa
nafurahia
akinikaribia
alafu
ananiita
my
dear
alikua
anafanya
roho
yangu
inakimbia.
Juu
alikua
na
sauti
ile
tamu
tena
clear
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.