Wakadinali - Chesswoh paroles de chanson

paroles de chanson Chesswoh - Wakadinali



Vile tulikinda face South Iteso
Nafeel mi na badder bing tulichesswoh
Private jet na ni chest na suicide bomber
Aligenya ma-inspector
Daily shash ni delicious
East maisha ni magumu
Alikam na jaba akadhani ana nguvu
Si tulimnyonga na njugu
Vile tulikinda face South Iteso
Nafeel mi na badder bing tulichesswoh
Private jet na ni chest na suicide bomber
Aligenya ma-inspector
Daily shash ni delicious
East maisha ni magumu
Alikam na jaba akadhani ana nguvu
Si tulimnyonga na njugu
Koro zihunipandisha mahanjam
Tangu mistake kiungware nikulet kiutepa
Mokoro yunichangia darasa
Wiki ya pili must nichoree mest nahepa
Mworoto tunapenda rio nipanic mix na Barley
Jo fetish katepa
Wasoro wamenikwamilia kwa rasa
Ilibidi nimesare hizo fake tissue papers
Bora bezenga kwa njia ni aoshwe
Si humtokea na nyuma
Ni ka exile ya Tanzania manze
From early noon ni magode hadi kucha
Ju hadi after wasee kunitambua Nairobi
Alumni Mayonde alinuna
Yumshow msela TZ mwana FA nakuombea ukimuja
Score na fathela Busia omwana efue aliongea na kiluhya
Tunapiga round kundi sita Ugenya
Vipigo na kisu kuthigitha mbeca
Ikinirudisha jiji jua ni ngeta
Weather iko na hoodi jeans chini ngepa
Ukishindana na mimi utachizika
Kushindana na sisi ni kujizika
Utarienga ukipingana na fisi kuringita
Ukiiguza unalipa
Vile tulikinda face South Iteso
Nafeel mi na badder bing tulichesswoh
Private jet na ni chest na suicide bomber
Aligenya ma-inspector
Daily shash ni delicious
East maisha ni magumu
Alikam na jaba akadhani ana nguvu
Si tulimnyonga na njugu
Vile tulikinda face South Iteso
Nafeel mi na badder bing tulichesswoh
Private jet na ni chest na suicide bomber
Aligenya ma-inspector
Daily shash ni delicious
East maisha ni magumu
Alikam na jaba akadhani ana nguvu
Si tulimnyonga na njugu
Kenya defense iko strict kwa border hakupiti maingwa
Na vile kumejaa immigrants
Judge A, Lawyer B, na karao walipata C-
What a line up
Round imesimama, back home akapatwa na plain
Sema kushandwa
Hao usiwachenge ama wa kutafuta bail
Weapon si gun pekeee
Mtu wangu jo tunaweza kumada na pen
Ulimi pia hudefend, uliza peng alievade aje rent
Form ishachorwa, cheki cheki pretty auntie amevaa dera
Whistle blower, Central ilikuwa David Sadera
Naogopa tu kelele ya umbu, huku jo hatuogopi malaria
Utaibiwa mtumba na chuma
You too, yut haogopi kuumeria
Roumur area jana magiza walidunga rumba wakasepa
Nduru Kibera walisikilia Madiwa ikasemekana later
Niliambiwa nicontrol hio temper
Ama nitupe hio deng'a
Aje na fan alidai mi si gangster
Ni venye mi hutema
Show walitucall last minute
Na hatukupunguza hata tenga
Blankets walikataa niingie
Na wine yangu last December
Vile tulikinda face South Iteso
Nafeel mi na badder bing tulichesswoh
Private jet na ni chest na suicide bomber
Aligenya ma-inspector
Daily shash ni delicious
East maisha ni magumu
Alikam na jaba akadhani ana nguvu
Si tulimnyonga na njugu
Vile tulikinda face South Iteso
Nafeel mi na badder bing tulichesswoh
Private jet na ni chest na suicide bomber
Aligenya ma-inspector
Daily shash ni delicious
East maisha ni magumu
Alikam na jaba akadhani ana nguvu
Si tulimnyonga na njugu
Vile tulikinda face South Iteso
Nafeel mi na badder bing tulichesswoh
Private jet na ni chest na suicide bomber
Aligenya ma-inspector
Daily shash ni delicious
East maisha ni magumu
Alikam na jaba akadhani ana nguvu
Si tulimnyonga na njugu
Vile tulikinda face South Iteso
Nafeel mi na badder bing tulichesswoh
Private jet na ni chest na suicide bomber
Aligenya ma-inspector
Daily shash ni delicious
East maisha ni magumu
Alikam na jaba akadhani ana nguvu
Si tulimnyonga na njugu



Writer(s): David John Munga, Salim Ali Tangut


Wakadinali - Victims of Madness
Album Victims of Madness
date de sortie
28-11-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.