Wakadinali - Dingli (Katapilla) paroles de chanson

paroles de chanson Dingli (Katapilla) - Wakadinali



Biz ni siri
Aaah aaah aaah aaah
Biz ni drill na mstiri ni ya ngwai
Mra ikijipa ingiza hadi mapine
Mamoka nateta achana na crime
Hivo ndio venye story ile die
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Biz ni drill na mstiri ni ya ngwai
Mra ikijipa ingiza hadi mapine
Mamoka nateta achana na crime
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Yoh, vile yuanga nazisanif
Nduguz nilimwibia besheni za ngwai
King size lluminati full chopper magazine na ki knife
Hahaha askari kunikatsia life
Msichana na beep beep ni cousin ya wife
Sarba kiyesis starehe naitisha
Nijue leo na si kubahatisha
(Guess who's coming for me now)
Lokoa akifika lazima ntalipisha
Stocko imeisha naenda prescription
Bakisha grave grieve vile they be chicken out gravy
Kila weather naweza haniwezi ju hawezi
Ye ye ye this days lazy
Leo najistrap vicrazy
Na mi ni mkulima wa veggies
Biz ni drill na mstiri ni ya ngwai
Mra ikijipa ingiza hadi mapine
Mamoka nateta achana na crime
Hivo ndio venye story ile die
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Biz ni drill na mstiri ni ya ngwai
Mra ikijipa ingiza hadi mapine
Mamoka nateta achana na crime
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Biz ya streets ni ma time
Wanazizangi hizi dingli ma time
Yoh yoh, sijazaliwa na silver plater
Money talk ndo ina matter
Tryna get the bread and butter
Sai kila peng ndo anawinda Kata
Babylon haitaki ni run my race
Pull up 'n' shoot up shoot up the place
Paper chase ma doh kwa safe
Make sure that the fun is safe
Yeah, skai keja bila ndom
Hit song lazima u sing along
Came from far imekua long
Sai ndo nazoza nimekua wrong
Coming back like boomerang
Nobody knows what's tomorrow
It's zero taste for you haters
Utaanzje bro ako debates
Yeah, nikipata doo plan exit
Note the papa looking shut and toxic
I'm prime C like Elvis
Waliloba ju ya envy (envy)
Yea, tryna get the green and spend it
Mzing niko inje weekendi
Mi ka hainibambi haichezwi
Naskia fresh word from my mama
Yeah we are bless
Nikamshow don't worry izia stress
Hi rap isipojipa naingia jeshi
But sa niko stu naivisha gang
Ni pesa nadai sijai itisha fame
Ka nimechange it's not the same (zi)
Yoh it's not the same
Game over refa apige whistle
From manguo za chwani hommie si soo
I used to have close to no swag
Sai nacall Jemmy Truth wanna cock me a seesow
Apparel, mtoto akijipa naidara weh
Nywele amedye gozi caramel
You know how to beat it like I'm Pharrell
She was hella new
Nataka nitoke kwa street
Twagete community ka unanigich
Legal or illigal so bloody rich
Ma L nilitake sana ndio zi huniteach
Now we stably use gama two hands on the cake
They smile to your face but this fellas is fake
Uliblow na ukapass was your time it was great
But I sit in your eyes you ain't got what it takes
That's when I take over the game
With the fiercest the flame
This is what the fan say
'He's the best we're so happy and glad that he came'
'Without him hip-hop will never be same'
I advice you to stay on your lane
Pedestrian macho zimenyanya ni ndogo ka asian
Clean money mafia, is the fuckin' militia
Biz ni drill na mstiri ni ya ngwai
Mra ikijipa ingiza hadi mapine
Mamoka nateta achana na crime
Hivo ndio venye story ile die




Wakadinali - Me Against Me
Album Me Against Me
date de sortie
19-09-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.