Wakadinali - Still I (Skillo) paroles de chanson

paroles de chanson Still I (Skillo) - Wakadinali



Mi nakuosha ukinianika nakukausha
Makosa kucome na dis track niko na dosh ya Eastlands
Look ya job kibla uliza wamangita
Fom zimeisha grao inatufinya
Haki iwe ngao how na karao anadai thao
Bow down to crown ndio at least nifike how
Tao mbao tao mbao surround hao na surround sound
Unanishika ju ya kitu unatumianga pia
Jua nakufanyia kitu ananifanyia pia
Sa itabidi umeniskia ndio mtoi aache kulia
Wife pia atakuskia mi nakulilia mtoi pia anakulilia
Bila hi doh ya raia sidhani watafurahia
Hivo ndio koishia, so kesho utarudia
Survival dunia nimeshindwa vumilia
Na cry God skia, na pia nagive thanks nime survival those years
Odongo still I REP RAP kutoka NRB
Shauri Siaya Kisii, Meru Cheri
Kangemi Embakasi ndio narepesent ji
Odongo still I REP RAP kutoka NRB
Shauri Siaya Kisii, Meru Cheri
Kangemi Embakasi ndio narepesent ji
Stanza na mashairi nilianzanga hivi
Kijijini kabla sijakuja jiji, uliza Suzzie sikufichi
Hizo enzi ungenidiss ni kipindi
Kujipin ndio ilikuanga the in thing
Ndio mi huchekanga hehehe mkijidai nyi ni ma G
Sipotingi unless inahusuziki mziki
Wuzu knows snitching labda watutoboe ulimi
Wakizuba ndio hao sisi tunawafanyia mafinishing
Mi si fisi mi hukili kili alafu ndio niadishi
Ndio hao mapimbi wanadadisi vipi Skilli anaishi
Mimi silalishi na siskizi kabla haujataja shilling
Kwanza lipa billi kabla haujakaa chini
Pili ni kwa nini uko na ningi nanga mingi
Butterfly alley inasting kama nyuki
Uliza your chick aliniachianga chupi
Anna kuterritory ya kumark nilimshow asiwai rudi
Hizo area zote nimetaja huskii niko na magroupie
Odongo still I REP RAP kutoka NRB
Shauri Siaya Kisii, Meru Cheri
Kangemi Embakasi ndio narepesent ji
Odongo still I REP RAP kutoka NRB
Shauri Siaya Kisii, Meru Cheri
Kangemi Embakasi ndio narepesent ji
Odongo still I REP RAP kutoka NRB
Shauri Siaya Kisii, Meru Cheri
Kangemi Embakasi ndio narepesent ji
Odongo still I REP RAP kutoka NRB
Shauri Siaya Kisii, Meru Cheri
Kangemi Embakasi ndio narepesent ji wagwan wagwan
Odongo Skillo Skillo Skillo
Odongo Skillo Skillo Skillo, Odongo Skillo



Writer(s): Stephen Odongo


Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.