Wakadinali - Ukweli (Sewersydaa) paroles de chanson

paroles de chanson Ukweli (Sewersydaa) - Wakadinali



Yoh yoh manna drilla, si tuna talent tuliacha kuiba
Try my pray my nigga only that utazikwa au sio
Ukweli ukweli ukweli unafaa ujue hujai uza gazeti (sijawai)
Neti ju aliseti kuna venye alipeanwa na pedi
RIP (rip) kina Teddy daily waliball ni ka wikendi
Hesi si ungemfungulia kesi
Hesi si ungemfungulia kesi
Hesi si ungemfungulia kesi
Hesi si ungemfungulia kesi
Eeh nimetravel (umeenda?)
Narudi leo ndio niende tena Kitale
Heshima ni ya Caleb, sijui alitoa wapi courage (tena)
Ya kuibia masake na cartridge (wahwah)
Na tulidhaningi wizi kwake ni past tense
Nina lyrics nani ako na market
Naziuzanga flash same kwa cd na cassette
Mbona uko nayo na untaka nisuffer
Hizo ndio matare ka uko nayo nikanje
Busy nkitafuta mkate we unaexpect nikate (yoh yoh)
Niache maziwa tu ya packet rarua juu ya pake
Secure tu the package mi staki kuwa target
Kifsnam na palace ati mnashinda zabe
Sit hata msurface hamjui kupiga rampage
Ukweli ukweli ukweli unafaa ujue hujai uza gazeti (sijawai)
Neti ju aliseti kuna venye alipeanwa na pedi
RIP (rip) kina Teddy daily waliball ni ka wikendi
Hesi si ungemfungulia kesi
Hesi si ungemfungulia kesi
Yoh it's not easy out here (it's not easy)
Jana estate hauskii kuna raiya iliumia (pa!pa!pa!)
Kuwa busy my dear ka una namna utakipata na mwania (walai)
Yoh, hakuna mtu hupenda itos ikilia
Alinishow akiicock usijaribu kugwaria (usiwai hio)
Mob ties kama mafia kanyagia crime life bro usitry kuweka gear
Prime time nine naskia tu ma siren
Gunshot live wanatrace watu ka nne
For more than karne inakaa leo ndio arubaine
Get river anifame na KAZ ndio number plate
Tuzied pan din west sanse anataka kuintersept
Ni mafake kuexchange wakakutiwa kwa pavement
Payback is a bitch system huwanga na intel
Hauskii walishonwa na hosi ikiadai haichukuangi such
Ukweli ukweli ukweli unafaa ujue hujai uza gazeti
Neti ju aliseti kuna venye alipeanwa na pedi
RIP (rip) kina Teddy daily waliball ni ka wikendi
Hesi si ungemfungulia kesi
Hesi si ungemfungulia kesi
Yoh busy ukitafta ganji (hao mambleina)
We unacome na utiaji (unakaamga mbalina)
Busy nkitafuta ganji (we ni rong rende)
We unacome na utiaji
Busy nkitafuta ganji (wacha crime)
We unacome na utiaji (wacha crime)
Wacha crimes



Writer(s): Salim Ali Tangut


Wakadinali - Ukweli (Sewersydaa)
Album Ukweli (Sewersydaa)
date de sortie
29-09-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.