Whozu - Alieniloga Kafa paroles de chanson

paroles de chanson Alieniloga Kafa - Whozu



Yaani niache umbea
Kutwa nawashwa mdomo
We jifanye ziwa
Nikugeuke nyonyo woo
(Nyonyo ake)
Sirembeshi ukiondoka nakusema wewe
Mi ndio mimi mionjo ninogewe
Huku kwetu hatutongozi labda ushindewe wewe
Na mashemeji twapeana oooh mama eeeh
Mara yakatika (kwani inawahusu)
Offer ninywe pombe ngapi leo (kwani inawahusu)
Siogopi kufumaniwa (kwani inawahusu)
Si nimeyataka mwenyewe (kwani inawahusu)
Kumbe alieniloga amekufa, kichaa kimenipanda
Alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
Jamani alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
Alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
(Katumia dawa gani)
Aya twendeni
Nipee mkunjo
Nipee mkunjo
Nipe mkunjo
Aya twendeni nipee mkunjo (ukiinama)
Nipee mkunju (ukiinuka)
Nipee mkunju (eeh kwachini)
Nipee mkunju
Nimeulizia urithi nyumbani
Baba kaniona kama kisirani
Wapi mali zangu tumalizane
Kasema tukutane msabani ooh ooh
Uliyempa umbea leo kakutaja (eeeh kakutaja)
Friji lake haligandishi kakutaja (eeeh kakutaja)
Mara yakatika (kwani inawahusu)
Offer ninywe pombe ngapi leo (kwani inawahusu)
Siogopi kufumaniwa (kwani inawahusu)
Si nimeyataka mwenyewe (kwani inawahusu)
Kumbe alieniloga amekufa, kichaa kimenipanda
Alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
Jamani alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
Alieniloga ameshakufa ee, kichaa kimenipanda
(Katumia dawa gani)
Aya twendeni nipee mkunjo (ukiinama)
Nipee mkunju (ukiinuka)
Nipee mkunju (twende chini)
Nipee mkunju (ukibinjuka)
Aya twendeni nipee mkunjo (ukiinama)
Nipee mkunju (ukiinuka)
Nipee mkunju (kwachini)
Nipee mkunju (ukibinjuka)
Twendeni nipee mkunjo (ukiinama)
Nipee mkunju (ukiinuka)
Nipee mkunju (kwa chini)
Nipee mkunju (ukibinjuka)
Aya twendeni nipee mkunjo (Masha love)
Nipee mkunju (ukiinuka)
Nipee mkunju (na shida wa njala)
Nipee mkunju twende twende)
Aya twendeni nipee mkunjo (We kitasa)
Nipee mkunju (ukiinuka)
Nipee mkunju (D kishoka)
Nipee mkunju (twende tena)
Free nation



Writer(s): Oscar John Lelo, Whozu Andaskoo


Whozu - Alieniloga Kafa - Single
Album Alieniloga Kafa - Single
date de sortie
02-07-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.