Willy Paul feat. Harmonize - Pili Pili (Remix) paroles de chanson

paroles de chanson Pili Pili (Remix) - Willy Paul , Harmonize



Harmonize na Willy paul
Pesa sio kla kitu alinifunza mama
Eeeh
Heshima ndo kila kitu walisemaga wahenga eeeeh
Ukifata magar uta potea baby wee
Ukifata mapene utapotea
Mbona nikuite malaika
Na tabia zako hazi ambatani
Mbona aah nikuite mama yao
Na watoto wako umewatupa
Mbonaa chocolate na divai flavor
Kumbe wee shubirii aaaah
We pili pili we una niumiza moyo
We pili pili we una niumiza moyo
We pili pili pili pili wewe
We pili pili pili pili wewe
(Harmonize)
Tupige goti tusali tufanye dua eeh
Kwetu afadhari wenzetu wana ugua eehh



Writer(s): Willy Paul


Willy Paul feat. Harmonize - Pili Pili [Remix]
Album Pili Pili [Remix]
date de sortie
27-04-2018



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.