YDNW DIve - Dawa paroles de chanson

paroles de chanson Dawa - YDNW DIve



Na penzi la karafu
Tande mwenzako nishanogea
Usinipe roho juu
Wenda, manyago yakauchukua
Atatupange kumi kumi sitojali foleni
Nita play part yangu tu
Kikubwa usinifaniye uhuni
Eti kisa siongei kuumiza isia zangu
Mwenzo nime fall in love
Ukija niacha nitaumia
Amini mi nakupenda
Ukija niacha nitaumia
Maana kwangu we ndo
DAWA DAWA DAWA
Usiniruusu nikimbie
DAWA DAWA DAWA
Uje uniponye miye
DAWA DAWA DAWA
Usiniruusu nikimbie
DAWA DAWA DAWA
Usihende mwendo kasi mama
Penzi liende taratinu
Na kama ukichoka mama
Nitakubeba kama mtoto
Waweza kuwa mwalimu wangu ma
Unifunze unyagoni
Waweza kuwa daktari wangu ma
Uniponye maumivu
Mimwenzako nishatendwa sana
Nikalia nikachekwa
Ila moyo wangu kwako mama
Sitochoka ku kupenda
Atatupange kumi kumi sitojali foleni
Nita play part yangu tu
Kikubwa usinifaniye uhuni
Eti kisa siongei kuumiza isia zangu
Amini mi nakuja dar
Ukija niacha nitaumia
Maana kwangu we ndo
DAWA DAWA DAWA
Usiniruusu nikimbie
DAWA DAWA DAWA
Uje uniponye miye
DAWA DAWA DAWA
Usiniruusu nikimbie
DAWA DAWA DAWA



Writer(s): Sadiki Asumani


YDNW DIve - DAWA
Album DAWA
date de sortie
06-11-2021

1 Dawa




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.