Young Dee - Gari Feat Abbah paroles de chanson

paroles de chanson Gari Feat Abbah - Young Dee



Dream city, dingaa
Hihihihihi... Abbah
Yeah aha yeah
Wewe unaiita BMW, me naiita Bima wewe
Ukipanda funga mkanda, alafu anza kuvimba wewe
Kama mbele snitches wanaona gere
Kwanza Shell full tank leo ni siku misele
Kimya kimya si bomu limeveshwa shuka
Jicho nyanya hunioni mpaka nikishuka
Billnas nika aliomba kwenye kichupa
Gari yenyewe ndo mpya
Sijui ka nitaweza mpa
Huna dinga alafu unavimba ni ukatuni
Demu wa kwanza kuniumiza aling'olewa kwa balloon
Sikuamini mapicha picha kama movie
Ndo yakafanya nijue plan B ya mapenzi ni sabuni
Polisi akisimamisha wala hataki leseni
Ananipa salam na pole kwa foleni
Sio kinyonge mambling mavyeni vyeni
Young Dar es Salaam kweli kweli
Ukiona gari kali hujawahi kuiona
Basi ujue hii ndo gari yangu
Yenye mziki mkali ikipita utaguna
Base lake hii ndo gari yangu
Nasema ooh we ah ah gari yangu
Ohh weee ah ah gari yangu
Ohh weee ah ah gari yangu
Ohh weee ah ah gari yangu
We unaita Volkswagen mi naita vimba wewe
Ukipanda funga mkanda, alafu anza kuvimba wewe
Speed ya mwewe inafika hapo mbele tu
Sio iconic Dar nzima iko yenyewe tu
Sio ya mkopo, sio ya baba, ni ya kwangu
Acha waseme na nyodo bro nimeipata kwa taabu
Ma snitch wanatia adabu wakiona naingia club
Jinsi imetulia parking basi inavutia ajabu
Yeah, bei ya rims tu nanunua Vitz
Nikikupa bei ya muziki utaniona chizi
Polisi akisimamisha anaomba hadi kupiga picha
Piga picha baba uende ukavimbe Insta
Aha, gauge haishuki, vioo juu
Hamna kupenda mamluki ni watu poa poa tu
Uswazi hunikuti sitaki roho juu
Wasije kukwangua rangi hawajui bei juu
Ukiona gari kali hujawahi kuiona
Basi ujue hii ndo gari yangu
Yenye mziki mkali ikipita utaguna
Base laje hii ndo gari yangu
Nasema ooh we ah ah gari yangu
Ohh weee ah ah gari yangu
Ohh weee ah ah gari yangu
Ohh weee ah ah gari yangu
Eey mi naipenda gari yangu
VIle ikipata hitilafu mi nachachawa
Kibubu changu
Nitapasua mi niende nikaitibu ipate dawa
Kama mwendo kasi
Nikanyage mafuta sina wasi wasi, yeah
Shida mi sitaki
Niko na gari naenda na wakati
Ohh weee ah ah gari yangu
Ohh weee ah ah gari yangu
Ohh weee ah ah gari yangu
Ohh weee ah ah gari yangu
Hihihihihi.



Writer(s): Young Dee


Young Dee - Gari Feat Abbah
Album Gari Feat Abbah
date de sortie
06-11-2018




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.