Young Killer Msodoki feat. Damian Soul - My Power paroles de chanson

paroles de chanson My Power - Young Killer Msodoki , Damian Soul



Wanaonijua sometimes wananiita professor
Nkisha tua tuu wanashusha ma pressure
Kijana wa rock town wakati na action kama director
Nnavo ziacha alama ni zaidi ya tractor
Asa hawashiki hii yamoto ndugu
Komavu hadi naitwa sugu
Movie ndo limeanza kama huwezi kubaki move
Mafunzo tusha ya fuzu
Usishike utakata udhu
Tunatiririka kama maalim kaidaka juzuu
Kila siku ni kuu, tunasahau shida
Na furaha yetu ni ndefu kama shingo ya twiga
Mezani baada ya kushiba, mipango na ratiba
Kisha tunapiga salute unaeza ukasema Kiba team
One step ahead kila kunapo kucha
Kila tunapo gusa yani kila tunapo shusha
Ni kila tuwapo fursa, ni kila tunapo nusa
Ni kila sehemu maajabu yani kama fimbo ya Mussa
Si hate kuwa inspired
Watu wenye chuki na ku catch wamesha tired
Acha kutia salad, fata ya Yesu na mtume Muhammad
Balance mzani mambo yawe standard
Either lucky or not, yani utake au hutaki
Yani mwendo wa yellow subahi kama tupo Bababti
Yani kama tuko na BIG afu kama tuko na PAC
Afu maisha ni yangu mwenyewe kwani tuko wangapi
Yeah. wanao nijua sometime wananiita professor
Nkisha tua tuu inakuwa processor
Sound ya kijigitali weka mabali na watoto wenye pressure
Na hii ki boss yan kama Bakhresa
Yaah. ofcourse Msodoki
Best voice choice ya wapenda haki
So you better make some noise
Ka unazingatia itifaki (ofcourse)
Pa ku enjoy ni kati, wanafki cha kuwalia ni bati
Na ukiona amefunguka basi cha kufatia ni lock
Yooh. rise and shine, Lives in a year
Ooh yeah.
Utamu njoo ukweli kolea ooh yeah.
Radha ya hali ujue kulijenga, ujue kuogelea
Ndo tulicho funzwa tangu chekechea, sio umbea
Tega sikio hivi ndio vitu vya ku share
Usikae mbali kama unataka ku join nami, sogea
We don't care
Maisha ndio haya hakuna mengine
Kama unatuaminisha we ni jembe kalime
Si tunaishi sio kuishia
Tushikiane hisia
Ukisikia shangwe kwa wingi
Mwanaume ndo anaingia
Macho yote kwenye kazi, hakuna wa kusinzia
Vizuri uone mwenyewe, usiamini kwa kusikia
Ulomwambia asiniambie huyo ndiye aliye nijuza
Tulia usijifanye mwalimu, sehemu ya kujifunza
Na hata siri ya akiba ndio maana inatunzwa
Uliye muamini ndiye atakaye kwosha na kusuuza
So.
Ukijikubali mwenyewe inanatosha
Snitch ukimfanya ndugu ni bonge la kosa
Atakuchekea usoni, kisogoni atakunyoosha
Yajayo mbele matamu zaidi ya tulivyo ota
Toka wadogo mambo hayajawahi kuwa simple (simple.)
Geto wahuni wanasonga ugali kwa kijiko (kijikoo)
Na hauwezi hata ukaelewa ka unajisomea disco
Ile siku amabayo nili wish ndo leo nipo (nipoo.)
Kiongozi mkombozi
Mzee wa kuwagea dozi
Ofcourse hawalali ka wamelalia ngozi
Yaah. machozi hayajifichi kama penzi kikohozi
Yaani. ($@!$@%@£¥??.)
Kama milio ya rozi rozi
Am sorry.
My name ni Erick.
Kendrick
Voice ya mtaa
We nigei beat
Ukitaka niwachore we nigei biki
Nigei tiki
Nigei kitu
Ukitaka ninyonye we nigei titi.
Mmmwaaah.
Hehehee. ee bwana



Writer(s): Young Killer Msodoki


Young Killer Msodoki feat. Damian Soul - My Power
Album My Power
date de sortie
12-07-2014



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.