paroles de chanson Blessing - Young Killer Msodoki
(DaPro
on
the
track)
Ee
bwana
Haaah.
ukweli
uko
wazi,
haujifichagi
Yooh.
Usimpe
kichwa
panzi,
mzingwa
wa
konyaji
Warembo
wape
zanzi
na
maji
kwenye
jagi
Wapunguze
stress
kisha
niwape
stimu
waki
ni
hug
Mungu
ndo
mpaji,
kanipa
kipaji
Wanangoja
nikae
kimya,
wanakuta
sinyamazi
Yani
warembo
na
kazi,
Hennessy
na
zanzi
Wote
watu
wazima
hakuna
dogo
wa
kumtuma
maandazi
Nalala
na
mchuchu
Naamka
na
supu
Nimeamka
tajiri
Nililala
kapuku
Nilizima
na
nguo
Nimeamka
mtupu
Kitandani
watoto
wanalia
kama
kasuku
Okay.
Mimina
pombe
kwenye
readcup
Ni
ukimbie
unyonge
chap
umeniparamia
pap
Usione
bado
tupo
top
hizo
ni
blessing
Naona
haina
haja
ya
kuki
close
kiki
happen
Inna
a
d
Angelini
kuwapata
ni
channel
Nyumba
hii
haiuzwi,
ogopa
matapeli
Vibopa
na
cancel
na
maisha
ni
travelling
Tuna
enjoy
thug
life,
Tupac
Makaveli
Unapanda
kitandani
umevaa
nguo
una
maana
gani
Akili
za
kuchimba
chambo
kwenye
lami
Hapa
ukija
kichwa
kichwa
Unarudi
tipwa
tipwa
Kuna
pombe
na
mademu
na
vitu
zime
pikwa
pikwa
Misosi
nenda
kitchen
Everybody
listening
Biashara
chochote
naomba
basi
njoo
unipe
me
Pool
nenda
garden
Mvinyo
ukikolea
hapa
naona
wakala
wengi
Mpaka
sijui
pa
kutolea.
ooh
yeeah
Usije
sema
watu
wameiba
Wakati
na
wewe
usha
kula
vya
watu
umeshiba
Alafu
wahuni
wanakuomba
'mmh
mmmh.'
unaziba
Utavua
viatu
utachuma
kisamvu
Naimani
utapigwa
wewe
(hatari)
makofi
ndio
habari
Utaendaje
home
na
dereva
kasha
lewa
chakari
Ila
mwenzio
hatari,
ka
vipi
mpe
habari
Belea
halewi
bwana
mfungulie
safari
Na
hatulewi
kwa
sababu
ya
stress
Kwetu
hasara
roho,
heshima
inaambatana
na
cash
Jicho
nyanya
hebu
tazama
ma
face
Hapa
hakuna
kuchorana
ka
Ronaldo
amekutana
na
Mess
Yes.
Ninahitaji
company
Mtoto
mmoja
wastani
Khriiii
mpaka
maka,
afu
tutokee
kitandani
Hapo
kifuatacho
ni
kutia
mpira
kamabani
Ukiona
umetengwa
basi
ujue
hujichanganyi
Fanya
unitembezee
shuka
kuta
kucha
Maana
fisi
leo
ninapolala
kuna
bucha
Hapo
askari
kasimama
kuna
pusher
Zile
bebe
kali
zimeinama
zimesuswa
Mwambie
baunsa
asilete
nyama
za
sambusa
Apambane
maana
kuna
baby
mama
hazijaguswa
Aone
huku
vimini
na
fulana
vinashuswa
Kifuatacho
kupambana
tu
na
rushwa
Macho
zigi
zigi
za
niga
na
wizi
wizi
Babay
uko
na
me
yani
ni
ku
jigi
jigi
All
night,
alright,
alright,
all
night,
alright
oooh.
Ee
bwana
Ujue
me
sinaga
swagger
kabisa.
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.