paroles de chanson Dear Gambe (feat. Belle 9) - Young Killer , Belle 9
Dear
gambe
umefanya
maisha
yangu
ya
yumbe,
MI
nimpambe
wako
leo
nimekutumia
ujumbe,
MI
ndugu
yako
nipe
ukweli
usini
fumbe,
Uwepo
wako
karibu
vp
unafanya
ni
yumbe,
Kila
muda
kwene
friji
unajipoza,
MI
domo
zege
nikisha
kutumia
natongoza,
Nalewa
usiku
kucha
jua
lina
chomoza,
Nasindikiza
na
supu
asuhi
njema
unaniongoza,
We
ni
nani
unaiyendesha
hi
akili,
Nnikiwa
na
mawazo
unanitoa
stress
nisifikili,
Ukiwa
mezan
chupa
kadhaa
sijiwezi,
Mpaka
mtaani
washa
nipa
jina
jingine
la
mlevi,
Unafanya
nafubaa
mi
mwenzako,
Hadi
kazini
naiba
chapaa
nije
kwako,
Dear
gambe
mitaa
ipe
ukweli
wako,
Nakila
ugomvi
wa
baa
kwanini
chanzo
ni
chako.
VERS
2;
Unafanya
ndoa
nyingi
zinavunjika,
Hasi
chanya
we
na
msosi
nikichanganya
na
tapika,
Aukatai
kila
mteja
anae
kuarika,
Unafurahi
na
ubaridi
wa
maji
una
chilizika,
Likitokea
tatizo
we
ndo
kimbilio,
Nakutinga
nakua
muongeaji
bila
mpangilio,
Nasahau
kinga
tamaa
ndo
kimbilio,
We
ni
funda
la
ziada
unaniumbua
mi
mwenzio,
Unarainisha
koo
kifikla
unani
bembeleza,
Unani
kontro
sijasoma
naongea
hadi
kingereza,
Usha
niweza
nani
aliye
kutengeneza,
Na
nini
aliwaza
nawe
ni
mbaya
kwa
wasio
jiweza,
Sa
najinyea
nanilikunywa
kwa
furaha,
Najikojolea
unani
athiri
na
ninatoa
cha
paa,
Dear
gambe
mitaa
ipe
ukweli
wako,
Nakila
ugomvi
wa
baa
kwanini
chanzo
ni
chako.
VERS
3;
Dear
gambe
unanichanganya
sana,
Unamajina
mengi
mpaka
ya
mbuga
za
wanyama,
Nashangaa,
mengine
yanatia
kinyaa,
Mfano
mzuri
nigongo
chimpumu
hata
cha
ng"aa,
Kwenye
ubongo
umetawala
kila
secta,
Niukweri
siwezi
kua
nawe
bila
pesa,
Watu
wengine
wana
kula
ada
kisa
wewe.
Unawafanya
wanasahau
ibada,
Na
juzi
juzi
tu
nimepata
khabari,
Kuna
mwana
ulikua
nae
ameshapata
ajaLI,
Dear
gambe
nikweli
unanichosha,
Napenda
kua
nawe
ila
nyumbani
mboga
wanakosa,
Nawaza
jinsi
gani
ntakuacha,
Mpaka
wazalendo
wa
dini
bahadhi
kwako
wame
data,
Hakuna
utata
poa
sasa
najikata,
Kapuku
nikizipata
ntakufata...
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.