Young Killer - Leo paroles de chanson

paroles de chanson Leo - Young Killer



Tunafunga tu mitambo
Tusifoka wafokiane kuwaste time I swear
Wanalazimika kufosi, ilivyojaa mwna pea
Wanajazwa vichwa na moshi, ndio sosi ya kuongea
Kinachohuzunisha wanatupia alafu wanatupa chemba tunashare
Na si sometimes
Sometimes tunachungulia
Yaani sometimes tunapata
Alafu sometimes wamefulia
Yaani sometimes ka tunacheka
Sometimes tunawakazia
Yaani sometimes hatunaga presha
Kwenye utamu ndo tunahaulia
Na nikidondosha tenzi, namwaga kesi
Hakuna shenzi anaye bow bow
Watendezi hawa, wakipewa beat
Hawanyooshei sadakti
Vikozi kozi, vinasty
Mabitozi ma–
Ambao wanadream ya kuwa mabilionaire,afu kichwani sio smart
Leo tunawaza, tuko in verse
Na nikitua mwanza, mwewe
Inashangaza kunidisrespect
Na nina watoto wawili kama wewe
Sio washamba sio vilaza nanda kama wewe
Wapi kuna fala kama wewe
Kuchochea kuni alafu hamjui kupika
Kuleta uhuni kwa walio pigika
Nikupe salio alafu unipigie
Ni kuzoa maji yaliyomwagika
Nipeeni kipaza niwachanie
Dada zenu wanafarijika
Kusanyikeni buku mtimie
Ili mvunje history tulioandika
Chap chap chap
Tunazima taa, haters wanaaibika
Tunafunga tu mitaa
Maskio yote kwenye spika
Leo leo, watatii
Leo leo, kama we ni hater chill
Leo leo, yaani sio siri
Leo leo, tunatumia naku pia
Ruka na mimi, ukiruka na mimi
Naruka na nyinyi, naruka na nyinyi
Nikiruka na nyinyi, mnaruka na mimi
Ruka na mimi, ukiruka na mimi
Naruka na nyinyi, naruka na nyinyi
Trust me, sitaki kusikia sorry
Ukinitia doa, nakutia dole, nakwambia pole
Ukinipandishia mori
Nakugeya pin, nakwambia uchore
Hizi mambo, zina wenyewe manze
Na wenyewe ndio sisi
So, yoyo nipee displine
Nakujiikaanga tu
Tunazima taa, haters wanaaibika
Tunafunga tu mitaa
Maskio yote kwenye spika
Leo leo, watatii
Leo leo, kama we ni hater chill
Leo leo, yaani sio siri
Leo leo, tunatumia naku pia



Writer(s): Eric Msodoki


Young Killer - Leo
Album Leo
date de sortie
01-11-2019

1 Leo




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.