Young Lunya - Freestyle Sessions 4 paroles de chanson

paroles de chanson Freestyle Sessions 4 - Young Lunya



Alah gonjwa hili,ni gonjwa lisilotibika
Ukilipata ndugu yangu waweza teseka
Ukifuata masharti waweza pata bahati
Amkia Po, uzia ndugu yangu utaumia
Jinsi gonjwa litakavyo kushambulia
Utatamani kufikiria tena...
Beat ...
Yeah!,
Toka nimeanza kutema punch za hatali
Wananiita Mike Tyson
Picha linaanza na machupa chupa my zone
Wakijileta na watupa tupa that's all
Nakuteketeza huku nakuangalia
Dying slow
Wakali Toka way back
Check my flow, pia check jeans
Na red black, check miondoko
Check check your pay back
Hakuna jipya kama ni kazi nadai VAT
Mmmmh kimsingi me kingi
Na Sio Leo nafanya toka shule ya msingi
Na maflow ni hivi hivi bado mingi mingi
Kila Pini watoto wanapenda wanipinge
Pingi,
Na mnachuki tu I'm flexin
Hapana sifanyi collabo za elfu 50
Stoki bila ya mkwanja weka mpunga chini,
Na kwakua virus n ving nabaki quaranten
(Plan)
Beat Lina bounce kama nini
Nanalitupia bars kama 80
Shule nimesomea temeke mkoroshini
Sasa wanajifanya Ma Gen
Mimi Gen la ma Gen
Na full time huwaga nime noga
Nando kisa wanga wanataka kuniroga
Club huwaga naibukaga mara Moja moja
Nikifungia huwaga nakulaga mbogo mboga,
Rap ka Mimi haupati
Sitambi nakupotea ka J Martin
Kufika hapa inahitajika ki smart
Siwezi kukunyenyekea bro kiss my ting
Uhuni sio kuvuta vindo,uhuni ni
Kuchakarika na masongombingo
Nashukuru Mungu nakimbiza nakupata
Bingo,
Bila kusahau wali maharage kwa
Mama Mandingo
Iiiih mcheshi ila sio makuzi
Kila kitu cheusi ila sio mbaguzi
Naona nikilegeza watajipa maamuzi
Sasa sio jina tu mpaka uso nawawekea
Wa mbuzi,(nawawekea wa meeh)
Me huwaga na akili za mchana
Me huwaga busy kukimbizana
Sorry nkiskia flan Kanchana
Naendaga tu kula Bata na Sniper
Mantana, Straight up nipo mbele nimetangulia
Gang langu lipo nyuma linafata mkia
Tafta pesa usipozingatia
Madogo utawaita kaka na utawaamkia
Ukitaja ma rapa wenu wakali me wa kwanza,(kwanza)
Wao wenyewe wananiwaza (waza)
Vina kama Farid kibanda
Ndo maana na dondosha mawe juu
Ya mawe mwanza,mwanza
Watakubali bila ubishi demu unaempenda ndo anapika pilau bichi
Ukikutwa na mke wa mtu bila ubishi
Utachagua upigwe kavu au navilainishi
Sheeeh walidhani inayofuata naharibu
Kila session ni ya moto huwaga si kosei
Whozu Ndo anaekula tunda la zabibu
Lakini too much money the
Fredy Vunja bei
So na waadabisha, na Kisha najishafisha
Kabisa napanda juu kimaisha nawakalisha kalisha datisha datisha
Mjomba pangisha wakishuka bei
Yangu napandisha pandisha
So napandisha pandisha dau
Tena kwa madharau flow zinamaunyama
Maker pandisha sound, vyuma vimeumana
Under pandisha drawn
Dada pandisha gown
Mshamba katimba town (chiiiiihhh)
Zam zam bebe Rotimi tuambie
Utamu wa Vanessa mdede
Tuma na yakutolea unaifahamu zege
Hauna kitu ila kutwa kucha unaweka
Mrege,wanatamani kujua nawaza Nini
Wanatamani kujua ntachuja lini
Wanatamani kujua kuzidi Mimi
Nipo mbali sawa nanlipokua skumbuku
Ilikua lini,hata habari zao kwangu sio habari hata kidogo
Hatuna nyumba sawa ndo tusivimbe na mikoko,
Hukuwep wakat nazisaka so staki shobo
Maswali ya kiwaki nayapa majibu ya
Mzee kigogo
Give me break nipe nafasi
Sheria dar nipo kwa fasi
Tupo na shpapi, tupo na nyasi
Tunamuenzi ngwea kwa mitungi na mikasi,
Maana kichaa kikinipanda kichaa
Nawaletea ukichaa,
Movie na mapicha picha
Vurugu kila kukicha,
Kwahiyo kama vita ni vita
Mbongo huwezi kunitisha
Nikifika nakalisha, kanyaa Sana insta
Nilipofika Mimi hamfiki, namkifika
Nawakaba kama omtiti
Nini mtanidanganya, nimepitia mikiku
Na dunia ndo imenifundisha,
Maisha na muziki,
Ukipata watu hawatopenda
Wanataka ukose kila siku ndo watapenda
Wanataka ufeli kila siku zinapokwenda
Uwe chizi kabisa utokwe na madenda
Uuuh you can't believe and I believe
Shpapi nyingi zinanikufa na sifagilii
Watataka penzi, watataka pesa
Watataka family
Na mapicha pisha kukimbizana
Is how we live, yeah kwenye nyaraka
Kuna mamlaka, na kila kwenye mazoea
Kuna mipaka
Nimewakimbiza twenty ninteen
Mpaka hivi Sasa, and for the records
I'm the best rapa
We outcha yeah
Kiwalani bom bom
104 gang gang
Kapo, Toyo
Paul,Maker
Petty man raster
Tajiri abas
77 dash
End
Writen by Sayn B



Writer(s): Rashidi Shabani, Young Lunya


Young Lunya - Freestyle Sessions 4
Album Freestyle Sessions 4
date de sortie
08-04-2022



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.