paroles de chanson Litawachoma (feat. Diamond Platnumz) - Diamond Platnumz , Zuchu
Habibi
lauzi
kipenzi
changu
cha
ngama
Mimi
na
wewe
hadi
milele
Komesha
wachokozi
wabaki
kututazama
Tuwatoe
jasho
la
nywele
Haa
nimesikia
habari
Eti
kuna
mtu
twamkera
Oooh
mwana
akae
tayari
Maana
bado
movie
hili
trailer
Na
usiku
nikumbate
(ni
tete
te)
Ooh
my
babe
boo
(ni
tete
te)
Kwa
ghetto
ning′ate
ng'ate
(ni
tete
te)
You
know
I
love
you
Nikizidi
ugomvi
unichape
(ni
tete
te)
Silaha
rungu
(ni
tete
te)
Kwenye
joto
nipepee
(ni
tete
te)
Mwendani
wangu
Penzi
letu
kwao
fire
Na
litawachoma
sana
Mmmh!
Litawauma
Na
litawachoma
sana
Eh
kwa
roho
mbaya
zenu
Na
litawachoma
sana
Oooh
na
hatuwachani
Na
litawachoma
sana
Mmhhm
ada!
Kinachotakasa
nafsi
Huba
si
sabuni
Kwangu
usiwe
na
wasi
Nishaacha
uhuni
Ada!
Kama
moyo
jiko
basi
We
ndo
wangu
kuni
Mapenzi
soccer
Nipe
pasi
nitie
nyavuni
Tena
wasikutishe
Kwa
jumbe
zao
za
kata
(kata)
Mi
ndio
kamati
kuu
Hapa
jimbo
umepata
(pata)
Mahaba
ni
tashtiti
Na
baby
unayajua
Siwezi
fanya
ya
Shishi
Uchebe
kukubutua
Waambie
na
ibilisi
Watu
wanajisumbua
Ufupa
kashindwa
fisi
Wao
paka
utawaua
Dodo
dodo
Nimeokota
dodo
na
mjani
wake
Nimeokota
dodo
Litayemkera
ni
shauri
zake
Simba
nimelipata
dodo
Nimeokota
dodo
na
mjani
wake
Oh
mi
mwenzenu
toro
Litayemkera
ni
shauri
zake
Na
litawachoma
Na
litawachoma
sana
Mmmh!
Litawauma
Na
litawachoma
sana
Eh
kwa
roho
mbaya
zenu
Na
litawachoma
sana
Oooh
na
hatuwachani
Na
litawachoma
sana
Asa
baby
nichezeshe
ngondo
Ngondo,
ngondo
ingwango!
Ah
tulicheze
ngondo
Ngondo,
ngondo
ingwango!
Eh
timbwili
timbwili
tutimbwilike
Ngondo,
ngondo
ingwango!
Oooh
mpaka
kupambazuke
Ngondo,
ngondo
ingwango!
Ai
ngondo!
(Ayolizer)
Wasafi
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.