paroles de chanson Makonzi - Zuchu
LG,
hii
LG,
ah
Ah,
ah-ah
(kuMjita)
(Mr
LG)
Nd'o
kakwambia
ataniacha
Ha-ha,
he-he,
unachekesha
sana
Hizo
ni
ndoto
za
Alinacha
Ha-ha,
he-he,
anakundanganya
Hata
umpe
nini,
hunin'goi
Unajisumbua
mwaya
Huyo
bila
mimi,
hatoboi
Nimemshika
pabaya
We'
chezewa
ukimaliza
kwenda
Hatuachani
kisa
ujinga
We'
chezewa
ukimaliza
kwenda
Hatuachani
kisa
ujinga
Na
nikikukuta
nae
Patachimbika
Nitakutia
makwenzi
Nitakutikisa
Patachimbika
Nitakutia
makwenzi
Nitakutikisa
Ha,
kwanza
unitambie,
umenizidi
nini?
Ku-battlle
na
mie
uje
na
wenzako
90
Uliza
uambiwe,
mimi
mtoto
wa
nani?
(Kapaa)
Ukijifanya
chawa,
mi'
mwenzako
kunguni
Una
nini?
Huna
jipya
nenda
kwa
Mwampo-po
Kikisafishwa
labda
nd'o
upate
soko
Ah,
una
nini?
Huna
jipya
nenda
kwa
Mwampo-po
Kikisafishwa
labda
nd'o
upate
soko
We'
chezewa
ukimaliza
kwenda
Hatuachani
kisa
ujinga
We'
chezewa
ukimaliza
kwenda
Hatuachani
kisa
ujinga
Na
nikikukuta
nae
Patachimbika
(we-ee)
Nitakutia
makwenzi
(utanikoma)
Nitakutikisa
Patachimbika
(ah-yee)
Nitakutia
makwenzi
(we'
kudadeki)
Nitakutikisa
(ayi)
(KamixLizer)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.